@muhammad_al_mirak: Mtume s.a.w Amesema Lau Ingelikuwa Yeye Kuamrisha Kusujudu Basi Angeliwaagiza Wanawake Wote Wawasujudie Waume Zao Pindi Wanapotoka Kutafuta Riziki

Buu Muhammadayn Mirak
Buu Muhammadayn Mirak
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 14:09:13 GMT
43296
3716
143
495

Music

Download

Comments

abbsayabdallah
MCHAWI NDUGU ☠️💀 :
SHENKEH JANA TUMELALA POLINI MWENZETU ALIPATA SHIDAA. KILICHO TOKEYA USIKU TUMEVAMIWA NA WANAJESHI WAMECHUKULA KILA KITU VYAKULA MAJI PESAA ... BASI LEO ASUBUH TUMEANZA KUOMBA VYAKULA KWAWENZET .... INAFIKA SAAA 4 MKE WANGU ANATUMA MSG PESA AMEMALIZA NA SINA HATA WIKI 2 TOKA NITOKA DAAR ..300000 AMEMALIZAA 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-07 11:48:58
9
nuruzanam
Nuru Salim Ahmed :
Alhamdililah...Allah aniekee mume wangu ampe umri tule watoto wetu yaraby
2026-08-07 05:57:55
7
theresiawangari0
Nasra :
wallai tena wangu ameenda congo yarabi nakuomba mwenyezi mmngu amuongoze barabara mbaya Allah awalinde wote wako kwa hio barabara wanafta riziki wafike salama warudi salama ya Allah
2026-08-07 01:38:51
22
missah151
Irene ❤️‍🩹❤️‍🩹 :
Nasisi wanawake madereva wambie waume zetu kitu😂
2026-08-09 09:18:40
5
carleddiee
"""Carl.Eddie""" :
shukran sana kwa kutukumbuka M.mungu akubarik.
2026-08-07 12:14:00
5
khalfan728
khalfan ✨🌸 :
Assalam alykm warahmatullah wabarakatu ndg. mashallah Allah akuzidishie 🥰🥰
2026-08-07 14:04:02
5
abui_saratan
Abui_Saratan :
shekhe na sisi pia madreva wa bus je?
2026-08-07 07:33:41
4
mussa.ally36
From the river to the sea :
Allah akuzidishie kila la kheri kaka umeonge maneno ambayo ndani yake yana ujumbe mzito sana inshaAllah Allah akupe umli na atujaalie mwisho mwema inshaAllah
2026-08-06 22:43:35
9
lucas.medadi.mkak
Lucas Medadi mkakambe :
dah! umeongea ukweli mwalimu wangu Allah akupe umri mrefu inshallah
2026-08-06 16:55:27
9
cutepieothuman
@cutepieothuman :
Allah nilindie mume wangu na madereva wote waepushe na shari zote ulizoumba ww yarrab waende salama warudi salama amiin
2026-08-08 10:36:58
6
nizobeynizo
Nizo :
Allah akuhifadhi ndugu yangu
2026-08-07 09:05:55
3
habibceety
RehemaRamadhan :
Allaj Awajalie inshaallah ni wapambanaji haswa
2026-08-07 05:30:42
1
princemaadhiin
⭐️𝐑𝐨𝐚𝐝 𝐥𝐢𝐟𝐞⭐🚛 :
Alhamdulilaah Kwa kila Hali
2026-08-08 23:20:03
3
fatmafaizaabdalla
Rudainah :
akiwemu babaangu kipenzi.yaa.Allaah.nilindie maana yy ndio.nlobaki.nae..na.ndio.nusu ya maisha yangu..amenilea kwa hio.kazi.hadi hapa nami.najitegemea Leo.
2026-08-07 11:53:35
7
user4960776008110jengo
@jackson Tz🇹🇿 :
Jazakha lahu ..swadaka nzuri sanaa sheghe 🤲🙏🙏
2026-08-07 20:43:17
1
miss_vandame
norah :
amin swadakta umesema ukweli watu wazingatie Allahu barik shukran
2026-08-08 02:38:14
1
othmanwamsoloni
MAALIM UTHMAAN :
barakaAllah fyika🤲
2026-08-07 06:52:28
1
nurdin.bokelo
Nurdin Bokelo :
Allah akbar shehee umeongea vitu vimenyoka 🙏
2026-08-07 11:57:07
1
madamjaq00
Madam Jaq :
wakumbushe tena KAZI zao ni ngumu Sana maana wanatumia akili na kuconsatrati Sana barabarani hvyo tuwasaidie na kuwapunguzia stress ata kama wanawauzi Mimi najionea Mengi na kunamuda Yuko peke yake njiani Hali gafla inabadilika anaanza kuumwa Yuko peke yake daah kwa kweli Mungu Awatete Sana tena Sana kwakweli ukiwa ujayashuhudia haya nasema unaweza umetukane Huyo mwanaume ila jamani waoneeni huruma KAZI zao ni ngumu kheri hata ya break down kuliko Hali yake inadilike gafla alafu Yuko anaendesha gari njiani uwa nawazaga Sana na kuwafikiria mnoo daah
2026-08-09 17:35:41
2
harith.kamal8
harith kamal :
fact kabisa ni ujumbe mzito sana mungu akupe umri na akutilie barka katika maisha yako🤲🤲🤲💯💯💯
2026-08-07 09:19:09
3
saadiyamohammad
shuuna helwa :
True Alhabib tabarakallah
2026-08-06 19:50:35
4
samally667
Sam Ally B man :
mashallah my brother allah akueke akuoe khery
2026-08-07 17:14:29
2
allyayoub803
Mwezingo :
2026-08-07 14:23:13
2
dallaz.kaka
Dallaz Kaka :
umeongea kama watu wengi🔥
2026-08-07 16:58:28
2
To see more videos from user @muhammad_al_mirak, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About