@simba.sport.club32: jezi za. yanga mbayaaaaaaaaaaaaaaaaa

SIMBA SPORT CLUB
SIMBA SPORT CLUB
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 14:13:47 GMT
68587
6078
353
179

Music

Download

Comments

danielphilipo255
delight Khan491 :
umetishaaa broo😅
2026-08-06 19:37:39
0
jumatz179
Juma Tz :
Y hap imefata nn
2026-08-06 20:10:14
0
ayhamric__tz
kindly girly😊 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 hhhhhhhhhh we kakaaa umenichekesha veep🤣🤣🤣
2026-08-06 20:06:59
0
chamajrboy0
innocentboneface :
uhakik man
2026-08-06 17:57:27
0
user33620774917142
fabrizolm :
hii ya njano kama mawimbi ya voice note
2026-08-06 16:12:36
98
bulyo.og
it's_bulyo🖤🤟🏾 :
ukizikaribia zinakuwa hivi😂😂😂
2026-08-06 19:22:48
8
hussein.bakali.7
Hussein bakali 7 :
ila zinachekesha kama sio jezi za timu yako😂😂😂
2026-08-06 15:53:31
36
ahoboiy
#pcb :
ulivvyo anza kuongea nikajua unaongea point nilivyo zidi kukusikiliza ndo nikagundua unaonge point zaidiiiii😅😅😅😅
2026-08-06 16:45:17
116
goddy.minjah
Goddy 🚀 :
Zimekaa Kama audiomark 😅😁
2026-08-06 18:30:56
18
ndunge_ndunge
ndunge :
kwli ni mbya bora ata zile za mazowzi
2026-08-06 15:47:04
25
mpenzuenterprises
Mpenzu_Tz🇹🇿📸 :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema
2026-08-06 19:19:14
2
jestiname
jestina mellody :
sw jezizeni si nzuri
2026-08-06 16:13:53
7
jms01..adje7
J :
jezi hazichukui makombe ngoja msimu uwaelemee simba 😏
2026-08-06 18:51:42
2
annastaziandege78
A m n@¥ :
siyo mbaya mabayaaaaa
2026-08-06 16:08:58
4
precious45541
prisamu :
😂😂😂 niache kidogo me nachanganyikiwa
2026-08-06 16:22:07
4
user5552266541381
K@rim m@ster☠️☠️ :
kusema kweli jezi zaombayaaaaaq
2026-08-06 14:49:41
3
mohamedhusein699
dog doni :
mibaya kwel🤣🤣
2026-08-06 14:33:46
6
jovinusphilimoni
Jovinus Philimoni :
ziwe mbay ziwe nzuli soshida zetu ilimulad makombe kaka
2026-08-06 16:43:37
0
nickmil8
miriam♒ :
yaan wameamua kuweka mawimbi ya voice note kweny jezi🫣🤣
2026-08-06 20:08:33
1
ally.amri.omar
ally de firstborn☄️☄️☄️ :
Mimi ni yanga ila jezi zetu ni mbaya 😳😳😳
2026-08-06 20:22:17
0
maysah897
Maryam Beverages🥂😋 :
aghh manina nimecheka walai 😂
2026-08-06 20:31:58
0
user5765859256912
waridshaban :
umenitisha nimbaya sana
2026-08-06 20:27:23
0
1617lv
NICO❤️🫂🕊 :
wanachekesha🤣
2026-08-06 20:31:02
0
To see more videos from user @simba.sport.club32, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About