@ali_wisdom: Ijumaa Mubarak. Ijumaa ya leo tunakuomba ewe Mola wetu, usiiruhusu mioyo yetu ikate tamaa mbele ya rehema zako. Tufute huzuni zetu, tupe nguvu pale tulipochoka, utupe faraja pale tulipoumia, na utufungulie milango ambayo hakuna awezaye kuifunga. Tujaalie mwisho wa kila subira yetu uwe furaha, na mwisho wa kila dua yetu uwe kukubaliwa. Ameen, Yaa Rabbal 'Aalamiin. #creatorsearchinsights #viralvideo #jummamubarak