uongeaji wa Salome unachanganya kuliko maisha yangu😂😂
2026-08-06 19:30:01
8
lizzyjohnn :
saw saw
2026-08-06 14:53:28
0
🌸ROSE___🫧🦒 :
ila kumuelewa salome ni ngumu kama maisha yangu😅
2026-08-06 18:47:32
2
nanaqueen :
Ipo siku mtanifanya nipaliwe Jamani 🤣🤣🤣🤣 ok ngoja nipunguze msongamano na kuzurura maana ntachafua Damu, natakiwa Kaya bila kaya 😂😂 kila mtu akae kwake
2026-08-06 18:41:54
3
Peniela💞💞 :
wakuu punguzeni misongamano mnachafua damuuu 😂😂
2026-08-06 14:41:47
4
cattylicious :
ameanza vzuli mwisho ss😂
2026-08-06 14:52:32
3
najiiiii!!!! :
🤣🤣🤣salome hua anajiamulia mambo
2026-08-06 14:35:12
2
DAUD kiondo 🐴 :
Halafu yupo serious 😁😁😁
2026-08-06 15:09:00
2
عمر این مغ بلا :
ata mm sijaelewa 🤣😂😂🤣😂😂😂
2026-08-06 14:41:48
1
official hasiha 😋 :
usipoweka.masikio yote kwenye smu huwez kumsikia sarome anazungumza nn