@prophetphilbertchrist: “NILIYEMPENDA KULIKO WOTE NI MWANAUME ALIYENITOA UBIKIRA’

Dondoo za Mahusiano na Ndoa
Dondoo za Mahusiano na Ndoa
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 14:43:07 GMT
87557
3159
118
363

Music

Download

Comments

manyota.top2
MANYOTA :
saw baba
2026-08-06 16:17:08
0
user4141811831953
boaz :
sahihi madam umeongea fact
2026-08-06 15:02:53
12
servant__jesse
NYONYOFYA :
hakuna uhusiano wa ubikra na kudumu ndoa , ndoa ni ufungamano wa nafsi sio damu ambayo kila siku wanavuja
2026-08-07 05:34:20
6
patrick71930
PATRICK EDUARDO :
Muwe mnafanya courtship before ndoa
2026-08-06 22:51:22
5
futuremillionaires19
Future Millionaire Mind💸 :
Walio olewa nazo pia wameachika😂😂 lazima tuchanganyikiwe😂😂😂
2026-08-06 22:58:21
12
calvin.kennedy62
Calvin Kennedy :
Kwahiyo na kwawanaume mwanamke wa kwanza ndo mke🤔🥲
2026-08-07 05:10:24
2
nancylmaguga
marie kabura :
bikra vinshusiana nini🥰
2026-08-06 16:27:57
3
jumanne.ally959gm
Jumanne [email protected] :
huyudada yukosahihi
2026-08-07 06:19:32
2
onlynaikely
My girl❤️ :
mm niliolewa na bikra na ikanishinda na nikaolew ten tupo hd sas😁
2026-08-07 05:46:28
6
tinat0494
Tina #0 :
jamani kujitunzaa ni kwaajili ya Mungu ndani ya ndoa hata uwee bikira au sio kama inavunjika inavunjika tu
2026-08-06 18:34:49
14
emanuelmalugu
emanuelmalugu :
Bikra sio Kigezo, Uponyaji wa Moyo ndicho kitu cha Kuzungumza
2026-08-07 06:32:40
4
darkrocky26
DARK ROCKY :
kuolewa ukiwa bikra ama hauna sio sababu yakikaa kwandoa
2026-08-06 17:54:58
6
emmanuelngiya
Emmanuel_Gabriel :
Ahsante Mungu kunipa mke mrembo na bikra
2026-08-07 01:32:21
3
neemazakaria751
Neema Zakaria :
hamja nukuu vizur jamani mnahukumu alisema hawezi kuishia kufua boksa its means kwamba anafanya lakini bado anaendelea kufanya mambo ya kimaendeleo sio unaishia kukaa kufanya kazi za nyumbani haimanishi kutofanya majukumu ya nyumbani
2026-08-06 20:52:59
4
user80206205525677
Noseli kitule😁 :
uyo dada apo mwishoni ameongea point sana
2026-08-07 05:53:08
1
williemnyamwezi
williemnyamwezi :
Sasa huku kwa wasomi mtu anaelimika kwa kuambiwa kuwa mwanamke hujaolewa kuwa kijakazi so huku kwenye ndoa kuna kutunishiana misuli
2026-08-07 05:04:15
0
user8606877718503
Otieno :
kweli kabisa kilichoongelewa
2026-08-06 22:32:58
2
aboubakar8919
Diesel Engine Tricycles Ltd. :
mzee jina lake😁😁😁
2026-08-06 19:03:35
0
wazirihrherry
waziri parumelo herry :
sio kweli
2026-08-06 19:33:44
2
wajasafaris
RDF 786 :
Wow congratulations Nimeanza kukuelewa mtumishi
2026-08-07 02:50:36
1
jm_outfit5
JM_OUTFIT :
pasta unawa wapa stress waumin nawaona kwa macho ya Rohon
2026-08-06 21:39:19
1
isaac.francis.gwa
Isaac francis Gwahha :
nawzoom nikijambiwa na wa kwangu bikra bado na nko nae
2026-08-06 20:49:48
1
To see more videos from user @prophetphilbertchrist, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About