@realbomba31: Wapo sawa kibaya lazima kitembezwe 😂😂😂😂#Yassinbomba #yangasportsclub

YASSIN BOMBA💥
YASSIN BOMBA💥
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 14:44:30 GMT
52904
2294
178
51

Music

Download

Comments

user3488223242377
my salmaaaaa :
l love you so much young Africans sports club 💛 💚 💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💯
2026-08-07 06:53:30
1
lilian.joshua5
Lilian Joshua :
hiyo ndo yanga timu ya wananchi na hatujawai kupoa kwenye jambo lolote naipenda sana hii timu yenye rangi hizi💚💚💚💛💛💛
2026-08-06 16:16:01
75
evaristt.matay.ka
evaristt matay kavulukut 2005 :
love more 💚💛
2026-08-07 05:02:16
1
khambochii
RmP-@$L@ :
2026-08-06 16:18:44
16
zainabudoreen
raya bakari :
yani umenifurahisha
2026-08-06 19:18:08
10
babytz03
chakudeka💎Simba fäwner🩸🦋🔵 :
lakini ukweli si mnaujua nani mwenye jezi nzuri 😂😂😂 msijifanye hamjaumia
2026-08-07 06:40:19
2
ibrah_tanzania
Ibrah GM :
baada ya kutoa mijezi mibaya wameona wakisambaza madukani watu hawatajaa wameamua kuuzia duka la klabu ili watu wajazane kesho waje waseme wameuza sana😂😂😂kifupi biashara ya jezi tangu aondoke sheria ngowi mtuache tu
2026-08-06 18:33:36
3
user91668341353278
ester olivo :
Nimeipenda hiyo
2026-08-06 16:29:00
4
mcswallomobile8
swallo mobile :
🤣hadi wauza sim tunauza Jez za simba
2026-08-06 21:29:37
5
julieth.manyerere4
Julieth Manyerere :
siwezi kukunyima like kwakujua kunichekesha😂😂😂😂😂
2026-08-06 18:20:16
8
lissah455
lissah ford :
kaka unatumia M pesa au Airtel money😂
2026-08-06 18:26:23
9
zabrah.the.peace
zabrah the peace :
hiz sasa sifa
2026-08-06 18:56:36
0
janethminja353
Janeth Minja :
yanga wanatia aibu sio kwa vijora ivyo Simba wametoa brand kubwa ya jezi
2026-08-07 11:39:13
1
officialmzuripesa
Officialmzuri-pesa :
Nimeenda Na pesa yangu jangwani nimekosa jezi
2026-08-06 18:42:21
5
suzie.sayi
Suzie Sayi :
allie tengeneza Jersey za Simba afungwe jera, hadi zitakapo isha
2026-08-08 04:22:44
0
khadijahussein302
Khadija Hussein :
🤣🤣🤣Mwakan tena
2026-08-06 18:33:43
0
zainabudoreen
raya bakari :
brother nimependa
2026-08-06 19:17:28
0
baraka.buzubona
Bh :
mpaka huku kigoma vijijini zilishafika
2026-08-07 09:04:26
1
rachel.gunaguje.m
Rachel Gunaguje Medan :
ngoja niamke nikasake jezi sijui nitapata
2026-08-07 06:21:24
0
chui8799
chui :
2026-08-06 16:42:32
1
mathiasmanga215
CALVIN :
Kizur chajiuza kibaya chajitembeza😂😂😂
2026-08-06 18:45:45
2
ayoub.yusuf2
Ayoub Yusuf :
jezi za yanga hakuna madukani hazijafika ndio unaona wamejaa jangwani
2026-08-07 01:54:43
0
zainabu.iddi77
madam zai :
Mwakani tenaaaaaa
2026-08-06 20:17:35
1
user8849096270032
peter :
wengine dodoma wengine mbea simba
2026-08-06 20:26:52
1
To see more videos from user @realbomba31, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About