dada mi nikpaka loshen nang'aa ila badae naza kungua pemben ya uso cpendi dada ushauri wako please
2026-08-07 10:16:51
1
AmiratAZRAH :
kwakweli ww mwalimu wa walimu nimekuelewaa kabisa
2026-08-07 11:07:03
1
mama ruu :
ivo vitamin kias gani
2026-08-07 04:08:50
1
Veronica Mulu :
Nipe biashara ya mchele😁🥰
2026-08-06 17:22:31
1
Miriam Jailos :
Mimi nimept vitmn e ya kijan ni nzr dada
2026-08-07 00:12:43
1
prettyrizzy💋 :
yaaan me jamn nanunua mafut eeeh ila ngozi imekuwa sijui ya mamba yaaan naomb unisaidie nitumie vitamin gan kwasb me sina chunusi ila ndo ngoz sijui imechok na maproduct ndomn lotion asaiv hazinikubar naomb unisaidie@belezapuraprodctuts