jamn hakuna ajuae mwisho wake lkn kwa mashiaa wanavuka mipaka maana hata adhana yao ukiisikia unashangaa wallah na wanamtukana sana mtume wetu na wanawatukana maswahaba ambao tayar wameshabashiriwa Pepo wallah tuangaliie waislaaam
2026-08-17 10:49:05
0
shebyngaoma :
kweli kabisa shekh
2026-08-06 18:54:27
0
M :
yote hayo hayamtowi mtu ktk uislamu , hizo ni Rai za watu Binafsi, Na hizo ni Rai zao kuhusu masahaba watapema dhambi zao na Allah ndio atawahumu huna haki ya kumkafirisha mtu yoyote na tamka shahada 2 ila na wewe utakua ktk makosa
2026-08-06 20:03:49
1
Omar Ali Mohamed :
Umevaa kikofia kisha ukamhukumu aliekua muislam na asiye muislam,inachekesha na kuhuzunisha
2026-08-12 14:34:58
0
Ahmed baasaas :
madam wanashahadia shahada 2 niwaislam
2026-08-08 18:33:40
0
djumakassimu901 :
wewendie muisilam
2026-08-07 13:47:07
0
Nurdin_cakes :
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-06 20:12:18
0
issabrain :
😂😂😂
2026-08-06 18:53:17
0
mussa j pys :
😁😁😁
2026-08-14 20:11:01
0
To see more videos from user @raha_haqi, please go to the Tikwm
homepage.