@ashmar_quotes: JUMAA MUBARAQ ❤️ ✨️ Ewe Mola wetu, katika Ijumaa hii tukufu, usiiruhusu mioyo yetu ikate tamaa mbele ya rehema Zako. Tufute huzuni zetu, tupe nguvu pale tulipochoka, utupe faraja pale tulipoumia, na utufungulie milango ya kheri ambayo hakuna awezaye kuifunga. Tujaalie mwisho wa kila subira yetu uwe furaha, mwisho wa kila dua yetu uwe kukubaliwa, na utujaze kwa rehema, baraka na amani. Aamiin. 🤲✨#fy #contentcreator #duaa #jumaamubarak #trendingvideo @TikTok @tiktok creators