@jukwaa.la.maarifa: Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amegusia Juu ya Ulazima Wa Wanaume Wote Wa Kiislamu Kuhakikisha Wanatoa Huduma Kwa Wake Zao Wa Ndoa Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amesistiza Ni Vyema Katika Uislamu Baadhi ya Vitu Kama Kulipa Kodi ya Nyumba, Kusomesha Watoto, Na Kuhakikisha Matibabu yote Hospital Mume Ndie Anahakikisha Wajibu Wa Mume Ni LAZIMA Kuhakikisha Mambo Yote Ya Msingi Yanayohusu Familia Husika Ni Lazima Mume Afanye Utaratibu Wa Mke Anayapata Kwa Wakati Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Anaendelea Kuwakumbusha Wanandoa Wote Ambao Wameoana Kuhakikisha Wanatimiza Majukumu Yao ikiwepo Kuhakikisha Swala Zima la Kila Mmoja Anatekeleza Wajibu Wake Kwa Kutekeleza Mambo Yote ya Msingi Ambayo Kama Mume Kutakiwa Kumuhudumia Mke Wake
Saa zengine ukisema wamuonea huruma mume wamsaidia kifedha zake zaenda nje Afadhali umuachie mwenyewe majukumu yake
2026-08-07 14:49:11
11
Faa❤️🦋 :
Mashallah mashaallah 🥹🤲
2026-08-07 09:54:55
0
Lowkey Favourite 🥰 :
ningeipost hii lakni ntasomewa Aya ya mathna🤣🤣🤣
2026-08-07 12:23:30
3
sweetmami :
mashallah waambie
2026-08-06 20:36:06
3
Nina :
uadilifu hamna yaani unaachiwa kila kitu nachokaaaa
2026-08-07 11:02:33
4
DIDAH DIDAH :
Sio mbaya mke kumsaidia mume wake
2026-08-06 19:49:56
11
Khadija Shosi :
😂😂😂niwek status au 😏😏😏
2026-08-07 06:03:29
2
Reysha :
mambo yamegeuka shekhe wanaume wamejisahau sana wao ndio wanataka kuhudumiwa asilimia kubwa wanataka wao wahudumiwe
2026-08-07 12:48:50
2
user2513392498310 :
shukran kwa ujumbe umewafikia shekhe
2026-08-07 10:17:30
2
mohamed Abdalla :
Naona comments za wanawake kwenye suala la pesa ya mwanamke ni yake tu lkn kwenye huduma ya mume kwa mkewe haifai kwa mwanamke kumtaka mumewe amuhudumie zaidi ya kipato chake😎hapo wanawake wamehepa hawajasema kitu😳subhanallah yani kwenye pesa tu ndio wamejaza comments waambie shekhe hadi mwengine amesema waume pia waolewe kama hawataki kufata dini yani ameona dini ipo kwenye pesa ila hizi point nyengine hajaziona subhanallah ndio maana siku hizi ndoa nyingi hazidumu kwa sababu huruma imepotea pesa ndio imefanywa kipao mbele yani pesa ndio inajenga mapenzi jamani tumuogopeni allah hii ni dunia isituhadae leo hii pesa ndio imekuwa ni chanzo kikubwa cha ndoa kuvunjika 😎
2026-08-07 08:20:16
2
lillac🙂↔️ :
Proud to be tunaingia sasa🔥🔥🔥🔥
2026-08-07 18:02:48
1
Mamu classic :
kama mume hana mke ajenge tu mana skuiz
2026-08-07 09:49:42
2
ummy muu❤💞💓 :
asante shekhe agiza juice nalipia
2026-08-07 07:16:52
0
Chacha Marwa12 :
Mm na enjoy sana kwenye ndoa yangu mwaka wa10 sasa mke wangu mwenyewe alinilazimisha nimuowe kweli nikamuowa na hela yake inatumika ndani na ninaila aswa japo mm ndio kila kitu kama baba
2026-08-07 09:57:15
0
SOMO MTOTO :
Pesa ya mwanamke anatakiwa afanyie nini?
2026-08-06 19:37:48
1
didah :
Swadakta
2026-08-07 14:33:20
1
memsap boss :
ustadh je kama mume hanauwezo na wewe mke unaweza je munaweza saidiana kwa hiyari yake mke
2026-08-07 03:21:50
1
mariamu :
mume huyo ni mume wa zamani ila kwa sasa mume wangu njoo tutumiye na zangu usije kufa mapema kwa mawazo
2026-08-07 05:36:21
2
Rehema Amani jyrany :
sawa sheikh
2026-08-07 19:46:18
1
Ukhty_Maryam :
jina la sheikh please,
2026-08-07 07:11:56
3
jamilah wa said :
me ni mwanamke najenga nyumba mwenyewe na niko na mume😳
2026-08-07 10:06:32
2
aisha issa :
mwanzo nikitoa pesa lazma irudi🤣🤣🤣 weeee nife na presha
2026-08-07 06:10:51
2
mrs mudie 🦋🥀 :
umemaliza yote kipenz 🥰
2026-08-07 05:22:30
1
To see more videos from user @jukwaa.la.maarifa, please go to the Tikwm
homepage.