@salym_kikeke: Rais Yoweri Museveni amewasili Tanzania kwa ziara ya siku mbili. Hii ni ziara ya pili ya Rais wa Uganda nchini Tanzania ndani ya mwaka huu wa 2026. Lakini Je, Yoweri Museveni ni nani hasa. Huu ni muhtasari wa safari yake ya kisiasa.

Salim Kikeke
Salim Kikeke
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 16:49:46 GMT
17992
770
10
20

Music

Download

Comments

josephmwakabanga
Jdm :
jdm
2026-08-07 12:30:07
0
mrrwezaura
Jonathan Rwezaura :
watu wengi Wana Amina akiondoka madarakani itakuwa ni Mlango mpya wa Maendelea kutoka walipo kwenda juu zaidi. Ila mm nazani itakuwa kama SIR. ALEX kuondoka UNITED
2026-08-06 17:06:02
1
issakapesa685
kapesa :
kaka uko vizuri sana 👍💯
2026-08-07 09:11:13
0
chosen.one2683
chosen one :
Ndio maana anaipenda Tanzania baada ya Uganda 🇺🇬
2026-08-07 04:10:16
0
nurukayoka
Michael kayoka :
mwamba hufai katka habari yaaani nakukubari sana
2026-08-07 03:40:12
0
furahajonas882
Furaha Jonas :
saf
2026-08-06 19:53:13
0
msofeviatu1
msofeViatu 👞 :
Africa imekuwa ya wachache sana 🚮
2026-08-07 05:40:13
0
user4331005929770
Eduardo santos :
dictator huyo
2026-08-07 03:12:28
1
wisperfect7
wisperfect :
watafia madarakani hao pamoja na kagame😂😂😂
2026-08-07 09:45:18
0
To see more videos from user @salym_kikeke, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About