@mercycharlesprosp: Kukutana na mwenza wako ni zaidi ya Starehe ya kawaida - Ni Agano lako kwa Bwana kuitunza hiyo ndoa. uliweka hilo agano madhabahuni, usiku. #Covenant #marriedlife #fyp #creatorsearchinsights

Pst. Mercy Prosperity
Pst. Mercy Prosperity
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 16:53:19 GMT
25078
936
46
212

Music

Download

Comments

happykomba4
Hapilicious :
Hilo agano watu wenyewe wanaligawa hovyohovyo tuu mtumishi!
2026-08-07 10:24:25
7
user5581849747499
Gatendeli :
wanawake wakisema amina nakupa soda😂😂😂
2026-08-20 05:27:35
3
ginnah_1703
Ginnah_1703 :
Umenena
2026-08-14 02:28:04
1
momy.mirybela.clai
momy mirybela Claire :
agano wanalivunja wa baba inatuvunja moyo na wamama wanajiongeza mpango wa kando
2026-08-16 06:18:19
2
bright.mwaulambo
Bright mwaulambo :
nimependa ujumbe huo sana
2026-08-28 15:12:45
1
nes_key
Neskey :
na hili agano litatutoa jasho tutafika tumechoka EEE MUNGU TUSAIDIE 😳
2026-08-09 08:37:20
1
palmsayuni
PALM SAYUNI GEN.ENT.... :
sema Mama Mimi ni James nahimwa HAki yangu nifanye Nini? kwa mwezi napewa mara moja na Mimi nataka mara 8nane
2026-08-19 03:58:44
2
rabsonmunuo797
Rabson Munuo :
huu ujumbe uko mubashara kabsa,,, wanawake wengi wanapenda sana kalalamika wakati mume anahitaji chakula chake, ohoo mara nimechoka, mara kwani hicho ni chakula,,
2026-08-17 10:37:38
1
martha7298
Martha :
Ameeen 🙏
2026-08-07 09:01:20
1
yustinimwanjabala
yustini jimu mwanjabala :
barikiwa
2026-08-17 04:26:59
1
oscarmwambene69
Oscar Mwambene :
Hakika umenena
2026-08-07 11:22:39
1
tende076
SADOCK M. BUYOYA :
kila agano huambatana na damu, mtu anaolewa hana ubikra ashavunja agano , (Nguvu ya kuomba Rehema inatakiwa kwa wingi)
2026-08-14 16:01:21
3
kandasauo
Kanda Sauo :
kiukweli pastor umenena yaliyo kweli ila sii wangapi watakuelewa ila uniamini ndoa Zina shida sana ukifanikiwa kutoa mabati ya nyumba zote za Wana ndoa na ukatazama yanayoendelea huko utazimia au utakuwa kipofu maana ndoa imefanywa kama kitega uchumi siku hizi kama hujafanya jambo Fulani hupati kitu.
2026-08-13 14:55:50
1
user4976903536200
user4976903536200 :
sahihi san ubalikiwe
2026-08-16 04:27:34
1
agnessnamanji
Agness Namanji♥️ :
Amen
2026-08-10 10:00:15
1
ev.john.ngowi
Ev.John Ngowi :
mama ubarikiwe sana
2026-08-10 15:55:37
1
matole37
MATOLE :
Mungu akubaliki kumbe Cha Mungu
2026-08-31 13:11:36
0
faraja.steve5
MAMA FARAJA :
Amen
2026-08-07 07:27:29
1
palmsayuni
PALM SAYUNI GEN.ENT.... :
Mimi ni mukristo nifanye je niende wapi?
2026-08-19 03:59:47
1
lidyamahela
LeeMapesa :
Weeee sekunda weeeeee 🤣🤣🤣🤣
2026-08-07 09:03:38
1
perepetuaerick
perepetuaerick :
mbona huyo mme hiyo damu anaigawa kwa wanawake wengine
2026-08-07 03:26:49
2
user75371815753063
doricasi :
du!
2026-08-06 21:56:44
0
uncle.uncle998
Uncle Uncle :
Unawambiya ukweli wenziyo wanawake
2026-08-17 20:14:12
1
user4792875602595
maisha rahisi :
sikuizi wamekua wachoyo cjui wanakumbushia utotoni kipindikile ilikuaga mama akipika wali ujue nisikukuu ya krismas au pasaka 😂
2026-08-21 18:25:40
2
tumainurio7
tumainurio7 :
😀😀🥱
2026-08-13 12:16:02
1
To see more videos from user @mercycharlesprosp, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About