tunafata sunna za mtume na kitu Kam mtume hajafany ezi za utume wa basi hiyo ni bidaaaaa
2026-08-16 08:45:01
41
scarface🦁🦁 :
hakuna kitu kizito kama kuiacha bidah Allah afanye wepesi katika Hilo wallah🥺🥺
2026-08-17 06:57:40
24
Diga Lise :
imamu malik amekua imamu wamskiti madina hakuna siku ameshuhudia maulidi ingekua nijambo lina asili lazima ange tuelezea hakuna hadith hata moja katika vitabu vaku aminika
2026-08-16 10:56:42
10
Watamu Grilly Yard 🔼 :
1V3
2026-08-21 20:11:35
0
mshamata :
kwan kufanya sherehe ni dhambi
2026-08-24 21:00:31
0
BIG MUU%6800 :
Swahaba gani kafanya maulid na kwa nini mtume hakufanya sie tufanye kuswalia so kumsomea maulid kwaiyo maulid ni bidaaa
2026-08-22 18:15:40
0
wakallala :
napiga dufu mimi somchezo yaan
2026-08-22 08:04:50
0
Kelivini Musa :
sas disiko namahulidi boro kipi mbona mna tuchanganya
2026-08-23 14:41:41
0
mshamata :
kwan kufanya shereh ni zambi na kama ni zambi mutwambie shereh ipi ni zambi n ipi si zambi
2026-08-24 21:01:21
0
mshamata :
sahihi usiangalie alie azisha kuna funga ilkua wanafunga mtume akasema hii inatufaasisi zaid
2026-08-24 21:06:47
0
KØƁƁÍË ⚽️📸 :
vizur ni kwamba sote tunakufaa na ALLAH ndo anaend kuhukum.... ALLAH atujaaliy mwisho mwema inshaallah 🙏
2026-08-24 12:21:31
1
SharuQajin :
kwani mtume mwenyewe aliku akifanya nini na alitusihi nini kuhusu siku ya kuzaliwa kwake ili tujue kama tupo sahihi au tunajiamulia mambo
2026-08-24 16:01:58
1
shadrina85 :
maulid tunapiga bila shida
2026-08-20 19:57:03
2
no bad 😂 :
nataka Hao want Sema ni bidaa ni Aya ipi ...???
2026-08-21 05:16:56
1
Bakari Hero🇰🇪 :
mashehe wetu punguzeni hasira
2026-08-19 03:56:29
1
Omari Msongella :
mim nilikuwa mkristo zamani ila kwa sas nimwjalibu kupenda yot rkn maurdi mimi hapana maan vitendo vya maulidi havipo sana
2026-08-21 20:08:30
0
JAHANGIRsMIRZA💥 :
Dini imekamilika hakuna kitakacho zidi wala kupungua . Ndio maneno ya Mtume .
2026-08-20 16:25:15
0
️choliman :
Watu wakifanya maulid maneno mengi Bidaa ,,lakni Hallowen zukifanyika na matamsha ya music Hamna mtu anayeongelea🙌🏽.wachen watu wafanye Maulid ..
2026-08-25 16:36:16
0
@𝚖𝚊𝚛𝚒𝚊𝚖 🥰🥰 :
𝚖𝚜𝚒𝚝𝚞𝚙𝚊𝚗𝚐𝚎 𝚝𝚞𝚙𝚎𝚗𝚒 𝚍𝚊𝚕𝚒𝚕𝚒 𝚊𝚞 𝚊𝚢𝚊 𝚖𝚜𝚒𝚣𝚞𝚗𝚐𝚞𝚔𝚎
2026-08-24 14:31:03
0
Hashim Muslim :
ok
2026-08-24 13:32:27
0
أبو حنیفة :
Sheikh naona anazunguka tu hajatoa dalili kuhusu maulidi tupe dalilili ya kuhalalisha maulidi usitupange
2026-08-22 15:16:24
3
brother_habib☪️🕌 :
hizo mic mtumi hakutumia mbona nyi mwatumia hamuoni kama ni bidaa hizo pia
2026-08-17 01:32:39
2
sempay :
kiukweli nimefanya maulidi miaka kumi naa ilanimekuja jifunza maulidi nibidaa naniharam kabisaa
2026-08-23 06:40:51
3
Suleiman Abdallah :
mtihani kwakweli ,kwani mtume (saw) mwenyewe hakutufundisha jinsi ya kumswalia na kumsifu?,
2026-08-21 22:42:13
0
Dully black ⚫️ :
Sema hiyo dalili ya Salmani alfarisi mbona hiyo ni mbinu sio Ibada
2026-08-22 11:47:09
0
To see more videos from user @allianrhaule1, please go to the Tikwm
homepage.