@erastosahani4: Mtuache na maisha yetu jamani 😂😂😂😂😂#foryou #stjosephchoirmwecau #kmkmakuburi

ERASTO SAHANI
ERASTO SAHANI
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 17:06:30 GMT
766899
39333
2574
9860

Music

Download

Comments

rozeelove6
Rose 🌹 :
parokia mtakatifu konyagi
2026-08-07 06:26:05
1156
silvanoson
Mr unknown🔨 :
KWAYA YA MT KONYAGI USHARIKA WA K-VANT JIMBO LA HANSON CHOICE
2026-08-07 21:03:16
515
lucy.mathayo3
Farid :
nilijua tu na mume wangu hakosekani kwenye hiyo nyimbo 😳😳😳
2026-08-07 05:38:55
157
angelanthony31
Mwamlimaangel :
daaaaah tuliokutana na hii asubhi hiii tupunge mikono🤣🤣
2026-08-07 04:42:25
627
estereliamgaya
Esma :
Afrika bila Tanzania sijui ingekuaje
2026-08-07 13:52:36
222
user41916985295092
Diana princess :
kwaya ya mtakatifu kvant,kigango cha mtakatifu serengeti parokia ya mtakatifu balimi 😂🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-07 12:19:49
186
leonardfredieluva
pixelprint_tz :
nimefuraia kutoka moyoni
2026-08-07 12:04:02
74
mony2112
mony :
NIONGEE KWA KUSIMAMA AU KWA KUKAAA😅
2026-08-07 10:03:42
25
user7829443468181
protas werbeck ndinde :
kwaya ya mtakatifu k vant😜😜😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-07 14:13:54
18
regantarimo611
@REGAN JR🇹🇿🇹🇿💫💫🌹 :
kuna mtu amesema et parokia ya mtakatifu konyagi🙌🙌🙌😂😂👐👐👐
2026-08-07 07:01:22
90
mtu_makini.store
MTU_MAKINI STORE MWANZA :
Parokia ya K~vant kigango cha balimi 😂😂😂uko galilaya😂😂kijiji cha konyagi kata ya shujaaa 😂😂😂🔥🔥🔥
2026-08-07 22:24:52
20
user8616214968824
liana :
jamani hizi sauti zipate ukombozi wa Mungu zikamuimbie
2026-08-11 12:44:05
23
esmile_69
E'smilē :
Nyimbo bola ya mwaka 2026 kutoka kwa parokia ya mtakatifu KONYAGI EZEKIEL BAPA 😁🤣
2026-08-07 13:38:17
32
manola_251
Mashirima😇 :
kaka zangu wasiione hii jamaniii..
2026-08-07 14:33:54
8
asha_khalfan24
Sherskhan24 :
Hii clip lazima niconvert iwe audio 😂
2026-08-10 08:35:30
7
marry.daq5
Marry Daq :
Kumekucha tena mnaimba kwa nota kabisa jmn mmetisha
2026-08-07 06:13:39
31
tinga.boy2000
Tinga boy2000 :
Kwan studio shingp wakubw
2026-08-07 14:29:29
11
donieldaniel
doniel :
kumbe wakiacha kwaya wanakuja kuunda nyingine huku🤣🤣
2026-08-07 07:03:32
10
20218334escobar
Escobar92##,🇹🇿🫡 :
parokia ya mt konyagi na wanasali jumuiya ya mt K vant
2026-08-07 08:14:37
14
foibe39
Cleopatra❤️ :
Kitu nlichokuja kugundua mnasauti nzury ya kumwimbia Mungu
2026-08-07 11:52:24
57
vickymusyo
Junior :
mko na "chaguo la mwindaji"yaani hunters choice
2026-08-09 06:23:34
6
eneamligo2
ENEA MLIGO :
hongera sana kwaya ya mt roboti kigango cha smat jin parokia ya cuca kutoka mkoa wa safari wilaya ya selengeti
2026-08-07 10:05:31
75
user98686368853421lady
lady sound :
hatimaye kwaya ya mtakatifu ulevi yaingilia kati😅😅😂😅
2026-08-10 10:59:20
6
everynemoses
everyne Moses :
mko wapi jamani mnaimba vizur nijiunge na kwaya hiii
2026-08-07 20:58:32
5
To see more videos from user @erastosahani4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About