@lisma.waziri: Wafanyabiashara wengi hawapotezi pesa kwa sababu ya ushindani. Wanapoteza pesa kwa sababu ya kuajiri na kuwabakiza watu wasio sahihi. Tatizo ni kwamba mara nyingi tunachanganya skill na character. Mfanyakazi mwenye skill kubwa lakini tabia mbaya anaweza kuharibu culture ya timu nzima. Na mfanyakazi mwenye skill ndogo lakini character nzuri anaweza kuwa kiongozi wako bora baada ya muda. Ukiwa na mfumo wa kutathmini watu, maamuzi yanakuwa rahisi na hayategemei hasira, huruma, au pressure ya siku. Swali: Kwenye biashara yako, ni kipi ni kigumu zaidi? A. Kuajiri watu sahihi. B. Kuwabakiza watu sahihi. Andika A au B kwenye comments. ##beautybusiness #beautybusinessowner #womeninbusiness

lisma waziri
lisma waziri
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 17:12:10 GMT
82890
3799
59
360

Music

Download

Comments

lilian12mmm
Lamora beauty :
Thank you
2026-08-09 12:00:22
0
darkid_tz
Darkid Tz :
Safi sana dada kuna kitu nimeokota hapa🙌
2026-08-07 06:31:43
19
pendeza.hair.stylish
PENDEZA HAIR STYLISH :
asante kipenz nakufatilia sn na ninajifunza sn kupitia wewe
2026-08-06 18:37:35
28
janetonny
janeth :
Thank youuu❤️
2026-08-06 19:30:33
6
mamap789
Mama p saloon & spa :
nashukru umenifungua
2026-08-06 20:00:13
6
mashuka_collection_tz
mashuka_collection_tz :
🔥🔥🔥🔥🔥well said
2026-08-06 21:46:16
4
masanja.simon2
Masanja Simon :
nimeweka hii status nimeskia kale ka sauti ka eeeeeeeeeeeeeee😂
2026-08-08 10:32:54
1
monalurex
Monalisa :
Nimeamua nikae ofcn kwangu mwenyew wateja wangu nawapa appointment wanakuja kwa ratiba .. anae taka express anaongeza ela baaas.. nashkuru niwaelewa. Wasichana mim bas tena🙌🏻
2026-08-07 12:07:12
7
doxxrchrd
D FURNITURE 🛌🪑📦 :
you always my mentor🙏
2026-08-06 17:18:29
1
user8585067376530
lavanny beauty :
kwel kabisa
2026-08-08 16:58:53
0
nadiakutika
diafashion :
Asante
2026-08-06 22:52:43
2
ammyglamhaven1
Ammy glam haven :
Asante sana🥰
2026-08-07 08:49:05
0
faraji_m60
SinganoFs :
Tatizo ni kujua tabia nzur kabla ya kuajiri, ujuzi sawa
2026-08-08 11:59:08
0
coco_beautylounge
Coco_beauty lounge :
Thank you
2026-08-06 19:51:49
1
jenly22o
Kat official :
Ni kweli yani kama kupotea pangeanzia pale namshukuru Mungu sio mwanadamu,,, guys maamuzi magumu kwa mtu asie sa hii yanaitajika🖐️
2026-08-07 07:15:50
3
babe.sarah8
Babe sarah❤️‍🔥♈️ :
Hii nataman boss wangu asikie🤦🏽
2026-08-07 06:11:12
4
miriismart.locksbeauty
MiriiSmartlocks& beauty :
Sante
2026-08-06 19:08:32
1
user3466344497556
love :
nimepata kitu
2026-08-07 10:46:41
0
annaariana74
Aariana74 :
Naomba nije dm love
2026-08-07 08:34:29
0
angelina51014
angelina5 :
Asante kipenzi
2026-08-07 08:28:01
0
biancaevaristo888
Bianca Evaristo. :
sawa
2026-08-07 08:41:53
0
rachel.n39
Rachel N :
Wa kwangu tabia nzuri ujuzi mbaya sielewi ataa
2026-08-09 17:16:17
0
alex__makeovers
ALEX__MAKEOVERS :
Nilifukuzwa kaz na saluni ikafugwa aikuendelea
2026-08-07 08:39:58
0
faithlatbarthez1
Maryam barthez :
ni kweli ninaye hapa ananifukuzia wateja pamoja na wafanyakazi pia
2026-08-07 14:45:33
0
wallace.masangu
Wallace Masangu😘✌️ :
Asante kwakwer
2026-08-09 08:40:46
0
To see more videos from user @lisma.waziri, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About