@elsan.6: Tamthilia pendwaa kuwahi tokea🥹❤️ #tanzaniantiktok🇹🇿 #azamtvburudanikwawote

elsan.6
elsan.6
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 17:16:22 GMT
97510
5158
265
285

Music

Download

Comments

ibrahim.chibu1
Ibrahim Chibu :
Dizaya
2026-08-19 16:44:15
0
madamuanna
official naah♥️💍💙 :
bola wangludisha hii kuliko movie iliyopo asaivi saa nne usk
2026-08-19 13:53:24
10
nour.abdu5
precious nour 🧜‍♀️ :
Desire🔥🥰
2026-08-19 09:54:12
0
zuhyrath23
Butterfly 🦋 :
hii series mie sikuipenda,sijuh kwanini
2026-08-07 10:02:18
18
queen.mindez
Queen Mindez :
Bora Azam wangeeka marudio ya hiii kuliko kutuekea Merlin 🙄🙄
2026-08-06 19:47:15
57
shamsaramaa
shamsa🌺🌺 :
Kuna hii Kuna the city sweet lie revenge🔥🔥
2026-08-07 05:54:15
22
mimy2002
iamMIMY2002🦋 :
bora wangerudia hii kuliko golden boy
2026-08-18 00:40:37
7
dijjah_01
Deejah 🤍 :
Desire 🔥❤️sijawah kupenda kama hii jaman na The City 🥰
2026-08-06 20:29:39
13
flola624
flola :
jamani hizi desire, revenge,our story,sweet lie,kazim,prima donnar zilikuwa noma sana
2026-08-07 09:56:56
6
hadijaabdallah615
Mrs umary❤️💫 :
ruby ring
2026-08-06 18:17:03
5
mrsmdoee2
darlix :
moviee yanguu pendwaa jmn
2026-08-07 08:12:53
26
user932006576015
omega :
sijui kwann sukuipendaga wala kuiangalia,ila kawimbo kalikuwa kazur
2026-08-07 06:57:12
3
user23838168746628
cheeks mam👑 :
jmn me nampend huria wairudie tu
2026-08-09 20:34:52
1
fineshit001
Ms__Hammie🤍 :
Huliya alinifundisha kupambania vitu nnavyovipenda
2026-08-07 11:32:41
3
tainer99
Ms_tainer🦋🐻 :
Nlikuwa na matukio ya kutisha shuleni mpk nikapewa jina hulya 😂😂
2026-08-07 05:10:37
7
offronick05
off_Ronick :
apa ndo nilijua utamu wa Azam tv movie unaangalia uku moyo upo kweny nyumba ya mzee Bahram🤣🤍
2026-08-07 06:19:53
8
user3337077953410
muuh 🥰♥️ :
Yani ata Azam wakisema wailudie mm nipo tayali kukaa chini na kuangalia tena 🥰🥰👍
2026-08-07 12:21:05
1
moonson_gal
Z🌸✨🤩😍 :
Aah namkumbuk hulyaa kichaa wanguu 😁🥰🥰
2026-08-07 08:40:45
0
hildamtui01
Hilda Mtui :
Mahir na hulya 🥰🥰
2026-08-07 12:28:48
1
mimi080778
Mimi :
Azam sio wa kutuwekea sisi Merlin 🥹
2026-08-08 07:03:49
2
user4828283881611
subira mwanguku :
Niliipenda sana desire
2026-08-07 06:08:08
3
zainabuabdallah500
Zainabu Abdallah :
nimemss saan hulyaaa
2026-08-08 17:15:50
1
ellah2855
emanuelah💟 :
guys hata wakiiludia Mara ngap mimi sitang'oka ma tv👌
2026-08-16 14:50:20
2
zaiychilo3
ZAINABU 🦁 :
na kweli kichaa wetu😂😂 ila huliaay
2026-08-07 17:35:10
1
babemuna4
Baby muna😍😍 :
jina please la movie
2026-08-06 17:37:36
2
To see more videos from user @elsan.6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About