helline co mtu mbaya ila wamefanya Kawa mbaya me napenda vipi😘
2026-08-06 19:58:58
4
Zamana Mvumbuz :
hongera kwa anae igiza sauti ya zahde anajua sana nampenda sana nacheka hoi nikimuona
2026-08-07 15:21:46
2
muzna❤️💗❤️ :
unioneshe yaleo arf huy melin na nezd watapendn t
2026-08-07 12:50:15
0
Zii🍁 :
Wa kwanza leo ❤️❤️❤️❤️
2026-08-06 18:10:06
1
baby🥰ruuh😚 :
yaan uyu camal ndio chanzo cha kila ktu,,alf uyu mke wa camal kwnn asifikirie mwenzio alitelekezwa na watoto,,badala amchukie camal kwa kuwachangany wanawake yey anataka penzi na camal amuumiz asie
2026-08-07 08:25:29
2
Mrs Ally🦋🦚 :
Wa kwanza leo ya kesho unitag kipenz😁
2026-08-06 18:22:17
0
S A L M A.🌸 :
fikrett ett " nashindwa kuwaelewa " 😁Rajj na merall 😁😁
2026-08-06 20:08:45
1
najma_ally ally_ :
watu kama mahir🥰 nawapenda vip😀
2026-08-07 07:27:24
1
kibegi 💫 :
fikrit na gursum jamn
2026-08-06 18:40:53
0
lovelee :
asante my 🥰🤣 jamn bado nimechelewa sikuwa na bando ila asante sana
2026-08-07 11:27:46
0
lovelee :
Me ni mke wa ndoa lakin nampenda Raji na mchepuko wake🤣
2026-08-07 13:32:31
0
prisca :
Ila mahir Ana pepo yake 🥰🥰
2026-08-07 02:34:57
0
queenie_glory❤️ :
jmn huyu zahide jmn anafaa kuwa mtanzania jmn😂😂ananikosha tuu
2026-08-07 21:10:19
0
niceveen :
Asai anataka watoto wake wawe na baba wakat mwingine tumuelewe kwaajili ya watoto😂😂😂😂 em bhn
2026-08-07 05:11:08
0
zam :
Leo ni zamu yng kipenz nitag ya Leo 🥰
2026-08-07 10:46:49
0
NICAMSUYA :
nashindwa kuwaelewa by fikret 😂😂
2026-08-07 06:48:56
0
user7555866251922 :
kazi mzuri
2026-08-06 19:02:17
0
To see more videos from user @love.movie84, please go to the Tikwm
homepage.