@kotapin_: Mh Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa hakika Mwenyezi Mungu akubariki sana Mama kwa kazi kubwa na juhudi kubwa za kuijenga Tanzania,,, daima watanzania tunajivunia uwepo wako Mama #Sisinitanzania #SamiaSuluhuHassan #CCM #MatokeoChanya #Nchiyangukwanza
Kotapin master
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 18:36:02 GMT
Music
Download
Comments
WAHUBANI :
Tuna kila sababu ya kumpongeza #DR_SAMIA_SULUHU
2026-08-07 19:10:05
2
sykes :
mama hana kelele kazi kazi!, kapiga tiktaka!
2026-08-07 16:43:42
1
{ Arbaab 💙 Nadir } :
{ MAMA SAMIY HADI RAHA WALLAHI... ✍️}
2026-08-08 16:04:27
0
Rai Suma :
kwanza cha Dangote kitakuwa kidogo Cha Tanza kitakuwa kikubwa zaidi
harafu sisi Tupo center pia tunaushawishi na ushirikiano mzuri na majirani zetu 🙏
2026-08-08 07:07:59
0
idrissamohamed16 :
Hongera Raisi Wetu
2026-08-08 08:44:57
0
S I D %F :
alfu pia na tajiri wetu mo mnafki alisema anaungana na dangote tunafuka matajiri wapuuzi sana kwenye nchi yetu
2026-08-08 11:39:28
0
Abdilrahman Mohamed :
Mama anaupiga mwingi
2026-08-07 11:22:45
1
Kimambo :
😁
2026-08-08 16:52:24
0
To see more videos from user @kotapin_, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.