@nick__baro: Vipi Mahusiano yako yanaonyesha mtazeeka pamoja? 😀😀👌 Mc Nick Baro #HereWeGo🎤

nick__baro
nick__baro
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 06 August 2026 19:52:55 GMT
177896
17655
621
2670

Music

Download

Comments

3232cina
Lizzie 🌹 :
hata hvyo Babu anamtunza vzr bibi as you can all see
2026-08-07 07:20:46
1
officialbabalynn
Officialbabalynn :
mpk wanafanana aiseee 🙌🙌🙌😔💖 love is beautiful thing created by God 😁
2026-08-07 08:34:13
2
manka4106
manka :
nimegundua sisi wanene ni chaguo la wembamba.❤️❤️❤️
2026-08-07 04:16:20
238
viola_ronalda
MwanaidiH.J :
Marriage is not for the weak🤣
2026-08-07 06:57:24
1
mamyruuh6
mamy ruuh🥰 :
najiungamanisha na Baraka hizi🙏🙏🙏
2026-08-07 06:51:00
248
helmantz31
helmantz31 :
halafu mbona kama penzi jipya hili munauhakika hili penzi la kitambo😂?
2026-08-07 05:43:40
368
sasher190
sasher❤️ :
I receive this bless in Jesus name 🙏
2026-08-07 06:49:08
2
unfollow__william
unfollow_willium :
mahusiano yalishazeeka kabla sisi hatujazeeka 😅😅😅
2026-08-06 20:28:26
58
sweettaste_bakery
sweettaste_bakery :
Najiunganisha na hii baraka InshaAllah mpka tuzeeke wote😂🫶
2026-08-07 10:21:18
21
angelntale7
angelntale :
goodbye
2026-08-07 09:31:47
1
user15163641432743
amonpeshauser1516364143274 :
ili penzi ni la kabla ya iPhone maana ya sasa ukikosa kununua iPhone anachika mtuu
2026-08-07 07:16:49
14
vivian.vivian608
Vivian prosper :
Babu alijichaguliaga 😂😂
2026-08-07 05:39:52
7
vivisia62
🦋vivii🦋 :
Nilitamani kufika hivi na mume wangu lkn mungu ndo kashamchukua 😭😭
2026-08-07 09:58:36
9
user53801785721288
isaya Joel :
mungu nipe na mm wa kuzeeka nae
2026-08-07 10:00:27
6
f0000123
0000-0012 :
sijui kama jumapili tutafik pamoj😂😂😂😂😂😂
2026-08-07 09:10:25
9
4wivesinone
4Wivesin1 :
najiona ni mimi kabisa huyo na mr j,in Sha ALLAH 🥰
2026-08-07 07:05:16
7
mercyremiy
@Rehema💙 :
kwa maisha mabayo nipo nayo na mbaba wangu mpaka tukifika hivi lazima mmoja awe mlemavu wa kudumu😂😂😂
2026-08-07 09:10:13
5
biriani_delihts
Biriani_delights :
Labda nikatwe ulimi kila mtu ananiambia tatizo langu mdomo 💔🙌🥹
2026-08-07 05:03:37
81
twain.twahir
Twain Twahir💋❤️‍🩹 :
Daaah hadi raha
2026-08-07 04:08:35
19
emlly.swai
Emlly Swai :
Nimependa usomaji wako wa comment kimya kimya naomba tuungane 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-07 07:59:49
14
mrindokoelizabeth
mrindokoelizabeth :
Hata hapa tuliofikia ni kwa neema tu🙌😜
2026-08-07 05:26:38
10
To see more videos from user @nick__baro, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About