@mueke_ke1: Bei Ya Jini Ambayo Nilinunua #God #kenyantiktok🇰🇪 #kenyantiktok #fyp

MUEKE TV😊
MUEKE TV😊
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 06 August 2026 20:15:53 GMT
221197
6804
378
491

Music

Download

Comments

tashashami1
VMK🪷🌱🌱 :
nephilim offspring don't have a soul..only spirit.mso wakikufa hawaezi enda binguni coz they don't poses a soul..hao ndio huwa jini wakifa
2026-08-08 21:57:15
1
kiddomau20
kiddo mau :
nliacha jini zikiwa 25k
2026-08-07 13:15:12
58
ivyne_25
Ivyne :
I have laughed 😂😂 even before listening
2026-08-07 11:40:02
75
jonig731
John n :
nataka ya kike yenye ni single
2026-08-07 14:08:25
94
boffat_m
Boffat :
Kuna watu wanaamini hizi story😂😂
2026-08-07 18:28:24
23
wanga515
Mr. Wanga (Snr.)🇰🇪 :
Nmenunua yangu 37k. au niliibiwa wakuu?
2026-08-07 15:11:16
30
alhajj_yusuf
ALHAJJI 🐫🐫yusuf :
kuna ile iko na rasta??
2026-08-07 08:08:54
21
natashagladys001
Natasha Mo :
wakenya hakuna kitu hamjafanya yaani mwajua hadi bei ya majini 😳😳😳
2026-08-07 18:46:54
18
user55290161178563
mgy :
sahizi zimepanda ni 42k ,ukibagain tutapata na 36
2026-08-07 15:23:39
6
user3926340046729
lalas lala :
ile msoto iko kenya ata njini zinasema hakuna pesa
2026-08-07 17:34:37
18
shillahdachosen
Shillah da Chosen :
ya Lamborghini, na account figure name n how much
2026-08-07 17:14:00
1
graduation.gownst
GRADUATION GOWNS-THE SAINTS :
Approximately ksh5000 Standard rate 😂 Usiulize nilijulia wapi
2026-08-07 06:17:27
6
trynjeru
Njeru Runji :
Kuna ya 2019 new model, KDW?
2026-08-07 13:49:07
5
nickowangu
Sir Nick :
kuna ingine nilinunua ndani ya wiki mbili tenants wakawa wanalalamika kuwa wanaona miujiza kwa plot
2026-08-07 18:02:26
8
reenbbyhrt
official reen💫🦋 :
propagadaaaa😅😅😅😅jinni unapewa moja katika familia za jinni ziko Aina tano Tu...na makata ni jinni la kiume upewa mwanamke Tu masharti Yake ni usioe wala usilale na mwanaume yeyote.makata utokea usiku saa sita .jinsi ya kumuita lazima uvae viazi nyekundu na uwashe udi.jinni maimuna ndie jinni Yule tajiri kabsaa na mrembo.zaidi kwa familia za jinni....*ili kufunga jinni lazima uwe msafi na mwenye Siri*hakuna jinni uishi kwenye yai labda dangu
2026-08-08 16:55:45
5
marymwenie
marymwenie 🇦🇪🇸🇦🇰🇪 :
kuna mtu anaamini here waganga ndio legitimate
2026-08-08 06:02:42
6
_alegooo
Alego :
kwani zilitoka 10k lini😂😂😂
2026-08-07 16:35:27
7
kipkemboim
Mose254 :
Nikipata Yai 🥚 imezikwa kwa nappier grass yangu? Was shocked 😳
2026-08-07 08:24:50
7
sonofafarmertz
Son of a Farmer 🇹🇿 🇰🇪 :
nilinunua 105k ila alikuwa mvivu kazi kulala tu nikimtuma pesa anasema achoka😂
2026-08-08 05:48:15
5
abednegonzoloke
Abese :
unanunua kitu alaf kinaitisha damu za watu
2026-08-07 08:26:10
6
user651636394719
waridi :
but si lazima ununue jini, you can invoke then to come by yourself.
2026-08-07 10:34:18
4
totomercykerubo5
Mercy kerubo :
we live once si mnipee moja wakuu😏😂
2026-08-07 22:17:42
1
bnx88254
bnx :
bag ya nini?
2026-08-07 12:07:29
2
rosebella187
Bella💫🇺🇲 :
hebu mnifungie jini ya 2k 😅 haki nyinyi watu 😂😂
2026-08-08 13:02:53
4
To see more videos from user @mueke_ke1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About