@everydayera4: Caption Friji langu lilikuwa almost empty, kwa hiyo ilikuwa time ya kufanya monthly restock. 🛒🥚🥛 Leo nakuonyesha safari yote kuanzia kuangalia fridge lilivyo tupu, kwenda sokoni na supermarket, hadi kulijaza tena. Kama unapenda shopping vlogs na lifestyle content, video hii ni yako! 💕 Usisahau ku-like, ku-comment #Everydayera #MonthlyRestock#LifestyleTZ#RestockWithMe#TanzaniaVlogs
Naweza nkafanya hvo and still nkanunua chakula yan🥺
2026-08-07 18:43:13
179
connect.with.faye8 :
Dear samaki ukinunua wengi usiwe unawaparua inasaidia kukaa fresh zaidi🥰
2026-08-06 22:25:23
210
Wakishua😜 :
Me kwangu sina friji nina friza nawezaje kutunza vitu vya mwez mzm anaejua anielekeze please
2026-08-07 04:38:19
50
aisheery📚❤️ :
Mabibo nyanya sado bei gani dear
2026-08-07 04:44:36
4
shamylucky😘 :
mtu ukifanya hivi watu wanakuona kama una helaa, kumbe ni hesabu kaliii za savings, maana ukinunua kwa jumla bei inakua chini kidogo, pia una uhakika wa kula, so ukipata hela unaitunza kama ilivyo.🥰🥰🥰🥰 hii kitu ni nzuri sanaaa. basi tuu watu hawajuii
2026-08-07 11:02:14
52
❤️Nazmina🦋🦋 :
Nina friji na kuna nyanya moja nasiwazi😂😂
2026-08-07 09:16:19
13
MR AWARENESS🧠🧠 :
hivyo vya kuharibikaa haviharibiki muda wotee huoo..???
2026-09-23 13:33:48
1
ms_lola :
samaki na hyo kuku sio fresh bhana 🥹
2026-08-09 08:34:02
6
marybel :
🥺🥺mnawezaj kukaa na vitu kweny frij na visijaribike mim wiki tu😭
2026-08-07 15:16:13
7
momnicol08 :
Kuna kipandee cha karoti tu 😂😂😂
2026-08-10 10:42:49
1
Ms karambola🤍 :
10/10
2026-08-11 09:30:12
0
Ratifa Gemini ♊ :
mimi nanunua vitu naweka ndani ila sijui kukadilia mda vtakapoisha mda wowote sawa ila nimeenda sokoni tokea tarehe nne mwezi wa saba mpaka sasa vipo
2026-08-07 06:25:09
9
rizzy beauty saloon :
next
2026-08-07 10:26:56
0
Rebeka Giofrey :
Natamani Sana Coz sina Freg
2026-08-09 17:56:30
1
jingle255 :
Umebeba mzigo mwenywe 😁
2026-08-07 14:21:28
0
Grace♊️ :
nilipata fridge nitakuwa kama wew
2026-08-07 12:04:07
0
Amina wa Ayman :
Kuna mimi kwenye friji kuna machupa ya maji
2026-08-09 08:07:38
7
noodlepinkies :
Kipind cha maandamano friji langu ndo lilikua limefkia ivi afu maduka ndo yamefungwa sasa nilikunywa uji siku tatu mfululizo😭
2026-08-07 15:34:10
1
fehy98 :
nasubiri muendelezo
2026-08-07 10:14:09
0
totobad_32 :
Nikifikiria nikienda stereo ninavyosukumwa nawaza jinsi ya kuandaa content 😂
2026-08-07 06:28:51
1
Soso :
hivi sado ya viazi sh ngapi, nahisi nilipigwa bei
2026-08-08 21:10:50
2
Sabrina :
Ndo soko langu pia mabibo oyeee
2026-08-08 15:09:46
1
chagga girl❤️ :
Wewe n kama Mimi kiukweli mwezi matumia laki1 tyu na nikikaa ndani hata siku5 hata dukani siendi wanajua nimesafiri😂😂
2026-08-07 22:14:47
4
Ms_bahath..🎀🧸 :
mm ntafanya hvoo mana sipendii kwenda gengeniii😒
2026-08-06 20:52:28
3
Jackie🍓✨ :
Fresh na vimeganga😳
2026-08-12 18:55:47
1
To see more videos from user @everydayera4, please go to the Tikwm
homepage.