I salute you from Kenya for your amazing driving lessons!
2026-09-02 16:43:11
0
Eric Cantona:7 :
ufundi nishajuwa Sasa nitafute gali
2026-08-07 07:44:39
11
Mustafa malamla :
kaka nakufatilia sanaaa tupe madini kaka
2026-08-07 14:15:39
4
user7712726788183 :
triangle au lifesaver
2026-08-18 09:05:41
0
Doctor wa Manesi 🥼💊💉🤫 :
uko vzr ufike mbali
2026-08-07 01:54:38
3
Christian :
merci beaucoup
2026-09-02 13:17:55
0
Joh :
Watanzania tusipo kuelewa, tumetaka wenyewe....umetisha sana bro
2026-08-07 09:09:30
4
putin :
barikiwa sana brother
2026-09-01 19:04:01
0
user87631985073 :
mungu akulinde sana ili uwendelee kutupa Elimu
2026-08-07 05:32:50
3
Justin :
nakukubali mkuu
2026-08-31 12:47:07
0
madigistationery :
asante kwa elimu
2026-08-07 08:24:27
1
Kahindi Emmanuel :
hakika ww ni mwalimu,maana umetia utangulizi,kiini na hitimidho zuri sana
2026-08-17 12:36:57
0
Euseboy :
dah kaka uko vzur
2026-08-07 13:08:15
1
Abduli Ali :
asante kaka kwa elimu
2026-08-15 10:49:52
0
Burton Madaba :
saluti kwako boss
2026-08-21 12:51:45
0
neyshey1 :
saf na mm ninavyo vyote dukani kwetu karibun sana
2026-08-19 15:23:06
0
Roby 1 :
Kaka tumekuelewa swadakta kabisa ila mimi niuzie hiyo saa uliyovaa
2026-08-19 14:25:19
0
ISSA IBRAHIM :
shule nzuri shukran
2026-08-09 04:09:37
0
helenjoseph230 :
nakupenda tu kaka angu sii mchoyo kwny kz yako
2026-08-09 02:41:36
0
zumra :
Asant sana kwa mafunzo mazuri kaka yetu ila ss nahitaji hiyo ya kushtua betri ya gari ntaipataj
2026-08-10 08:37:56
0
DKT MAPET :
ñakukubari sana familia yangu sikupingi familia
2026-08-10 04:09:35
0
meshabui :
usiach kka
2026-08-09 17:47:09
0
Msukuma🫰 mweusi :
kwahaya mafunzo yako yanatusaidia Sana kuijua gar japo Kua Sio kwaundan Zaid Lakin najua Kuna baadhi ya vyuo vinaumia Sana kwamadin unayo yatoa Mungu akubaliki Sana🫡🙏
2026-08-11 16:56:33
0
saraperry77 :
Upo vizur sanaaaaaaa
2026-08-14 06:57:19
0
To see more videos from user @khalidimagari, please go to the Tikwm
homepage.