@injilimoto: je Allah ni mu arabu? #kenyansinqatar🇶🇦🇶🇦🇰🇪🇰🇪 #viralvideo #congo #muislim #gospelmusic @Davis Rotich @ALFONSO @Evangelist Louise jeanne @love @ꜱʜᴇɪᴋʜ ꜱᴀʟɪᴍ ɴᴅᴇᴅᴀ @FRANCIS NDACHA GATIBA @ABEL SHILIWA @DR GERISHON ODARE @EMMANUEL 💥 @Kaka kakake @AISHAWATETU

ev Ahmed hassan
ev Ahmed hassan
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 06 August 2026 21:34:56 GMT
11678
980
179
31

Music

Download

Comments

user7122653686702
marques :
umuhimu wa kiaarabu ni nini sasa??
2026-08-07 20:54:37
1
matunzoziro628
Matunzo Ziro :
Allah na mo kwani nindugu
2026-08-07 14:01:19
3
nassorhaji935
nassorhaji935 :
ni lugha Allah aliyotuchagulia sisi kwa ajili ya mawasikiano yetu katika sala tunamuomba kwa lugha moja
2026-08-07 14:08:35
1
theopenquran
👑 𝒅𝒂𝒊𝒍𝒚 𝒒𝒖𝒓𝒂𝒏 🤍👑 :
You're applying a double standard. The Torah was revealed in Hebrew, and Jesus spoke Aramaic, not English. Yet today millions read the Bible in English and accept it as a translation of God's message. So why complain that the Qur'an is in Arabic? Every revelation came in the language of its first audience. The Qur'an itself says: "We did not send any messenger except in the language of his people, so that he might make the message clear to them." (Qur'an 14:4). The issue isn't the language—it's whether the message is understood faithfully. If you accept translations of the Bible, you cannot reject the Qur'an simply because it was revealed in Arabic. That's a double standard.
2026-08-07 13:14:52
0
rukiakazungu149
Rukia Kazungu :
warabu ndio watuwenye elimu kushinda watu wote duniani
2026-08-07 15:01:47
1
mohammadkhubran
mohdkhubran :
ALLAH muumba wa kila kitu mpaka lugha zote kaziumba yeye na tumia lugha yoyote unayoijua kumuomba au kusali lakini ni bora Kwa kiarabu kama hujui NI ubora ujifunze haswa SURATUL FATIHA inatosha na utaingia Kwa ufalme wake
2026-08-07 07:07:47
2
sir.kichaura
sir kichaura :
je God ni mzungu?
2026-08-07 10:22:51
1
j4998535
J4 the super brand :
Allah alishusha manabii na mitume katika mataifa tofaut yenye lugha tofaut mfano ISSA au Yesu. yeye Yesu aliletewa injili katika lugha ya kiebrania na ndio lugha uliyo tumika katika swalla kwa watu wote mfano wakiristo wanatakiwa watumie kiebrania hata waislamu kabra ya Muhammad walitumia kiebrania kuswali au kuabudu.
2026-08-07 15:39:12
3
user5378049145290
ozmail :
Our sheik( DR SULE )will give you a good answer....
2026-08-08 20:48:41
0
imranzyimuu
Imranzy Imuu :
ndio maana dini ya kislamu haiwezi potea kila kitu ikon kwa original context....injili ime badilishwa kwa lugha mingi hadi imepoteza maana na kupoteza wafuwasi
2026-08-07 10:57:24
2
user3103612328872
¥©UÑG @ẞD¥. ÎSR@£L :
@¥©UÑG @ẞD¥. ÎSR@£L:swali zuri,umuhimu si kiarabu tu lengo kuu waislamu wasali kwenye lugha Moja ili waelewane hata kama watakuwa mataifa tofauti
2026-08-11 18:16:51
0
user38774002490613
[email protected] :
uko na u tube channel
2026-08-07 11:06:07
1
re_moon001
moon :
MTUME (SAW) Alisema"SWALLU KAMA RAAYTUMUNI USWALLY".hapo wanaambiwa maswahaba mpaka kufika kwetu,waswali kama walivomuona mtume akiswali,yaani sala visomo vyake kwa kiarabu,na mtume alifundishwa quran kwa lugha ya kiarabu,na akafundisha dini kwa lugha ya kiarabu.Katika Dua yoyote unaomba kwa lugha unayoijua baada ya swala,ila ikifika swala unaswali kwa lugha ya kiarabu,hebu nikuulize swali,makabila mangapi yako nchini na mbona wimbo wa taifa inatumika kwa lugha ya kiswahili,?
2026-08-08 00:19:00
2
aswar.sunna
AHALI SUNNA :
allah sio kama hajui luga zote allah anajuwa luga zote isipo kuwa uslamu ni dini ya ulimwengu na kila jambo lina utaratibu wake utaratibu wa swala ndio huo na ndio maana tumeambiwa tusome na kama allah angali ruhusu kala kabila waswali kwa luga yao kwenge kuwa na shida mm nikienda china sijui kichina nitajuwaje kuwa hapa watu wanaitwa kwenda kuswali lakini kutokana luga ya swala ni moja hata nikienda china pakiaziniwa nitajuwa huu ni muda wa swala watakimu atapita mchina kuswalisha na mm nitamfata tutamaliza swala pamoja akitoka nje tumeachana hiyo ndio sababu ya swala kuwa kwa luga ya kiarabu
2026-08-07 11:01:21
0
user4186177245948
user4186177245948 :
imewekwa kwa luga moja ili tupate kuelewana mda wa swala ingekua kwa luga tofauti tusinge elewana kama wewe ni mswahili na unaongea kiswahi usinge elewa swala ikiswaliwa kichina hivohivo kwa mzungu muhimdi kwenye swala tunatumia luga moja lakini kwenye dua waomba kwa luga yako kumbuka swala na dua ni vitu viwili tofauti
2026-08-08 05:58:12
0
k.dr21
Jei @k k :
Swali nzuri
2026-08-07 07:14:59
1
frank.double7
Frank Double7 :
mwarabu ndy
2026-08-07 05:45:16
1
nassorhaji935
nassorhaji935 :
Mimi mnanishangaza sana sababu tumesoma shule na tumesomesha sayansi na waalimu waswahili lakini lugha iliyotumika ni kiingereza na mtihani ukija hata kama jibu ni sahihi ukijibu kwa kiswahili imekula kwako, umewahi kujiuliza hilo
2026-08-07 14:13:00
1
user5630960281121
joseph :
niko nyuma yako, ila hawaya jibu 🥰🥰🥰
2026-08-07 19:52:48
2
salimhaila3
Salimu :
mungu huabudiwa kwa kila mahali na kila lugu atakusikia
2026-08-07 05:51:13
3
sina.jina66
Sina Jina :
kwni mitume waliotangulia wlikuwa wakiabudu katika ibada zao wlikuwa wakitumia lugha gani?
2026-08-07 04:09:16
1
jeanpierreshindano8
jeanpierreshindan :
assani ubarikiwe saaana
2026-08-08 06:42:40
1
neemhoza
neema hoza :
una kheri wew uliye okoka.. umechaguwa..njia iliyo njema sana..
2026-08-07 11:57:12
2
prosper.john4
Prosper John :
Mungun akubariki sana Mtumishi wake
2026-08-07 05:51:05
1
chloe82284
Chloe :
pongezi broo niko nyumayako
2026-08-07 04:03:07
3
To see more videos from user @injilimoto, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About