@mrschris05: Default Ulikuja DM mwenyewe, hata sikukuita. Shobo tu. 😂🤣 Sasa mimi na wewe nani amekufuata? Mbona unaropoka bila kuulizwa? 🤭 Hujui TikTok ni mtandao wa watu kutengeneza content wanavyotaka? Usiwe unakurupuka kila ukiona post. 😂za watu Chefu
Jén. Chris 🇹🇿🇺🇸
Region: US
Thursday 06 August 2026 22:30:58 GMT
Music
Download
Comments
brazillian alfarai🇹🇿🇸🇯🇪🇦 :
nashindwa kuelewa 🙄🙄!
2026-08-08 23:53:29
0
Robbie😍😍 :
Free visaaa.. jane niache🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-08 12:27:17
0
YATIMA WA ULAYA….🇹🇿🇩🇪 :
😂😂😂😂Ila jeni
2026-08-08 07:04:04
0
NIPHER BIRIANI 😍Tz🧿 :
😂😂😂😂Alie kufundisha uswahil skuiz bint❤️😂😂🙌
2026-08-07 05:15:34
5
I heart Clinton :
😂😂😂😂 Ikawaje
2026-08-08 14:42:03
0
faddy :
Umeamsha vipi😂😂😂 Kiufupi umembainisha kidagaa nuksi mchana kweupe 😂😂
2026-08-07 07:21:17
4
minah :
nasubiri live mm nitap tap 😂
2026-08-07 09:53:15
0
my country :
tunasubiria live yako kitambo
2026-08-07 07:17:18
1
Sholababy99😘 :
ila da jen wewe jamn mie sitaki jamani tubakizie kwenye next episode jamn 😂😂😂😂 vinamtosha
2026-08-10 04:36:33
0
sarahmilusha🇹🇿 :
ila wewe😅😅
2026-08-06 23:24:55
0
lulumerchant :
hii vita ya wake wa wazungu sitakiw kukosa live ata moja nka tap tap😂
2026-08-10 04:29:34
0
jessie_luxe 🇹🇿 :
😂😂😂😂😂hakujui uyo eeeeeh
2026-08-07 05:58:14
0
Mary-Kisoka@90🌹 :
😂😂😂😂
2026-08-07 10:00:45
0
Mom kem@l :
Mm nakupenda tu hivyo hivyo🥰🥰
2026-08-07 08:08:56
0
Lilian😍😘 :
Unachamba kitajiri🥰
2026-08-07 14:24:22
0
Idaah _ farry :
Aatuachie jen wetu huna makuuu ❤️
2026-08-07 14:51:04
0
lulumerchant :
Jana nlikua live moja ivi ya wake wa wazungu wakawa wanamsema yy na team yke na yule alofanya birthday juzi😂😂sijamtaja mtu
2026-08-10 04:30:39
0
💦🫦kasozi kwetu💦💋 :
🤣🤣🤣🤣🤣ila wewe 😂
2026-08-07 04:47:39
0
🧸glory7007🦋 :
Nyama unazo kweli mahi ila zimekaa zinapotakiwa🔥🦋pambe tuuu ❤️
2026-08-07 01:55:40
4
Keen :
ila wake wawazungu jamani wamedata ila naskiaga wazungu wanauchizi wamewambukiza mpk wake zao😂🤣
2026-08-07 11:31:11
2
jessiecollection4 :
Imebidi niingie niangalie hizo nyama😂Mbn Zimekaaa vzr😍zipo mahali pake🔥👌🏻
2026-08-07 05:07:19
1
Winchester Mary :
Alafu hao wagermany wanawao na kuwaacha Tanzania hawawapeleki kwao nashangaa, kuna kitu hakipo sawa.
2026-08-07 17:26:56
0
Jojo sweety🍧😘💅🤳 :
Yan ata uyo mzungu amemuonea uruma tu awaendan hata afu anaushamba frani hivi bado😂😂😂
2026-08-10 21:29:21
0
Happy Julius m maagi :
hao ungekua unaachana nao make wivu utawaua🤣
2026-08-07 12:59:59
0
gracelumambi :
😅😅😅
2026-08-09 21:56:03
0
To see more videos from user @mrschris05, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.