Jina langu mama amina, bamtu wangu mfaume, meneja wangu momo, kanipost, naimba mm tena, napita pale mim leo nikamuone nani pacheko, pacheko anisamee, sirudii tena, Hay Asante🙏
2026-08-07 13:42:43
20
AYUSCO TZ :
CJAONA COMENT YA PACHEKO
2026-08-07 15:01:23
0
KINDAMBA THE MR :
tatizo wewe unatukana sana jamii
2026-08-07 09:24:48
25
Familia Kibena :
me nacheka bhn mtajua wenyewe 😂😂😂
2026-08-07 09:46:54
34
comfort :
nilicho mkubali mama amani anamusimamo na mapenz yake ad mfaume kaludishwa tena
2026-08-07 08:11:34
20
Aisha Mtakata :
Arafu mnamsema zuchu king’ang’a mmeona mama amina lkn
2026-08-07 08:20:35
1
ryne :
Hajataka kuomba msamaha kwa pacheko mnamlazimisha
2026-08-07 10:09:27
19
Mr Hamisi 255 :
mmemlazimisha msamaaa😂😂
2026-08-07 12:41:44
6
Chioma9419 :
mfaume ndio remote ya kucontrol mama amina🤣🤣🤣
2026-08-07 14:41:41
0
Tegemezi :
muombe msamaha pacheko aah kwa ilo apanya
2026-08-07 09:44:47
7
Naa jk :
pacheko kawatafunia haya maisha bana dah
2026-08-07 08:07:01
10
=bosco16 :
maisha yamempiga Kwa wiki Moja tu daah😁
2026-08-07 16:43:04
0
mom. fei :
mama Amina kwenye swala la kupenda ni kaka Mimi TU 🤣
2026-08-07 10:03:23
6
Wema Daniel :
mimi binafsi nimefurahi sana msameheni tu tatizo sio yeye n moyo wake una upendo wa dhati
2026-08-07 13:09:54
2
𝐥𝐚𝐬𝐭𝐛𝐨𝐫𝐧💦 :
aiii😂 kaacha kutukana jmn 😂
2026-08-07 12:32:41
1
Frank 👑 :
Makofi ya nn sasa 😁
2026-08-07 13:13:29
0
OFFICIAL Elvin🥰 :
faume nawewe siutulie jamn tushapenda😂😂😂
2026-08-07 10:57:28
4
Ms lyyn❤️ :
Muacheni kaka wawatu pacheko huyu dada atakuja kumuua hamjui anapitia mangapi kwa huyu mama Amina 🙌
2026-08-07 11:17:17
3
Missah❤️ :
Ulimwengu umemfunza
2026-08-07 11:57:20
2
💖CUTE💋 N̸a̸N̸a̸H̸✺❃💗💫 :
😄😄apo kweny msamaha
2026-08-07 08:42:46
1
cate :
jamaan pacheko msaamee tu utapata sawabu
2026-08-07 12:31:12
2
To see more videos from user @menejamomo, please go to the Tikwm
homepage.