@mdogokatozamdogok:

tiktok
tiktok
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 07 August 2026 01:05:48 GMT
199748
7840
481
483

Music

Download

Comments

timothydavis1267
D-money😎 :
we bana tuamby recho dangwa yupo wp
2026-08-09 19:13:34
0
fanuelsafari
FANUEL SAFARI :
usjali dada inamwsho wake
2026-08-09 15:03:57
0
fettieboss
fettyboss😍😍 :
😂😂😂Mi binafsii mambo yko yanichoshaa
2026-08-07 04:13:25
56
p.girl70
[email protected] :
Rachel yuko wap?
2026-08-09 18:40:12
0
sezaaztf57c
thug life :
tatizo ata ukituambia hatuna cha kufanya yani tupo tuu atuelew tunafanyaje
2026-08-07 10:38:41
147
trezzyvolar.official
Trezy volar :
bor tuuzwee yaisheeee
2026-08-08 17:36:42
0
deo.msingapore
deo msingapore :
Tumejlkwishaaa
2026-08-08 15:23:00
0
user2798616510322
Lidya :
endeleeni tu kumjibu vby ipo siku mtamkumbuka
2026-08-07 12:35:50
74
4007tanzania
4007tanzania :
Samia must go
2026-08-07 22:55:32
1
tedigarlrajab
tedigarlrajab :
jaman acha niache kusikiliza maana NAUMIA tuu halafu sina la kufanya
2026-08-07 13:16:32
49
winfrida.mtavangu
Winfrida Mtavangu :
Mhhhh tumechokaaa habar zako
2026-08-07 09:22:38
6
lissa.lissa685
lissa lissa :
yaani inaumiza sana hizi habari ni ngumu sana
2026-08-07 08:13:25
29
zainabukiswaga
zuna :
sawa kwa hiyo
2026-08-07 09:15:58
9
waitwaiting5
Mercy❤️ :
Abdul yupo Dubai wewe upo USA sasa tufanyaje njoo basi huku tuwe wote
2026-08-07 12:23:20
10
zuwenaramadhan123
Zuwenaramadhan123 :
toka tulivoambiwa nchi imeuzwa na bado inauzwa tena au wanapasiana juu kwa juu🤣🤣🤣🤣
2026-08-08 09:06:25
11
chirsbrownofficial
. :
Ningekua mtoto wa samia ningekua naenjoy sana
2026-08-07 12:08:24
7
avelinaigonzela
Salome :
hivi nchi inauzwa mara ngapi? au inakua inakopeshwa2😂
2026-08-08 22:04:23
9
mwenenubinnassib
MWENENU_BINNASSIB :
Yani kweli haswa haswa mtu anaambiwa mtoto wa rais au rais anauza nchi na anaamin nchi inauzwa inchi jaman
2026-08-07 16:15:12
6
rehmahassanhassan
rehmahassanhassan :
acha tuuzwe
2026-08-08 08:05:11
1
siitiki
Jahmarc_889 :
😂😂 mungu wangu
2026-08-07 20:55:39
1
levokatus919
god blesstiktok.com/@levokatus :
wanaompenda mama samia oyeee
2026-08-09 09:25:03
2
amina.ayoob
cute minaaa :
Ijayo ni sisi tunauzwa🤣🤣🤣🤣
2026-08-09 05:16:37
3
beatha2580
Beatha seleman :
mbona ww upo ulaya jmn
2026-08-07 11:26:55
3
idrissamohamed16
idrissamohamed16 :
Hovyooo
2026-08-07 08:41:35
1
shannisaid
Shanni Said :
Yana mwisho wake yote hayo.Mungu si kawaida yake kuiachia dhuluma ishamiri kwa muda mrefu.Hata Firauni wa Misri alifanya dhuluma,je leo unasikia mvumo wake?
2026-08-08 19:17:46
3
To see more videos from user @mdogokatozamdogok, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About