Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@ashfb2b: peace 🇵🇭🥲
ASH
Open In TikTok:
Region: CA
Friday 07 August 2026 03:52:02 GMT
575
34
3
0
Music
Download
No Watermark .mp4 (
2.37MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
2.37MB
)
Watermark .mp4 (
5.98MB
)
Music .mp3
Comments
ЯIΛ :
🔥🔥🔥🔥 YESSS
2026-08-07 16:43:25
0
To see more videos from user @ashfb2b, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
"นกอ้วน" ผู้ช่วยแต่งเพลงของ Robin!! #hoyocreators #hoyoverse #HonkaiStarRail #hsr #robin #robinsummeretto #newstarcreator #riizg
#راح اوزع جم نهر خويه بثوابك #باسم #الكربلائي #fpy #Love #viral #الشعب_الصيني_ماله_حل #@مرتضى @فيكتور
Hư Chiếu = Aha!? Cú twist chấn động nhất lịch sử Star Rail! #uwutao👻 #HonkaiStarRail #starrail
Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake katika biashara ya umeme kikanda, huku Mradi wa Kuunganisha Gridi za Umeme Tanzania na Zambia ukifikia asilimia 90 ya utekelezaji na kutarajiwa kukamilika Februari 2027, hatua itakayoiunganisha Tanzania na soko la umeme la Kusini mwa Afrika na kuongeza fursa za biashara ya umeme kuvuka mipaka. Akizungumza, Septemba 11, 2026, katika ufunguzi wa Mkutano wa 67 wa Kamati ya Usimamizi ya Jumuiya ya Umeme ya Kusini mwa Afrika (SAPP), Naibu Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Zanzibar, Mhe. Seif Kombo, amesema kuimarisha biashara ya umeme kuvuka mipaka ni muhimu katika kuongeza upatikanaji wa nishati, kuimarisha usalama wa gridi na kupunguza gharama za umeme katika ukanda huo. Ameeleza kuwa Tanzania, kupitia Serikali na TANESCO, inaendelea kuwekeza katika kuimarisha miunganisho ya gridi, ikiwemo Mradi wa Tanzania-Zambia wa msongo wa kilovoti 400 ambao, utakapokamilika, utaongeza uwezo wa Tanzania kushiriki katika biashara ya umeme ndani ya SAPP. “Kuimarisha biashara ya umeme kuvuka mipaka kutaziwezesha nchi kutumia kikamilifu rasilimali za nishati zilizopo, kuongeza upatikanaji wa umeme na kuimarisha usalama wa gridi,” amesema Mhe. Kombo. Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Kamati ya Usimamizi ya SAPP, Andrew Etzinger, amesema ushirikiano wa kikanda ni muhimu katika kuimarisha usalama wa nishati, hususan wakati mabadiliko ya tabianchi, ukame na matukio ya hali ya hewa yanapoendelea kuathiri mifumo ya uzalishaji wa umeme. Amesema kukamilika kwa muunganisho wa Tanzania na Zambia kutakuwa hatua muhimu katika kuunganisha SAPP na Jumuiya ya Biashara ya Umeme Mashariki mwa Afrika (EAPP), hivyo kupanua wigo wa ushirikiano na biashara ya umeme kati ya nchi za Afrika Mashariki na Kusini. Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Usafirishaji Umeme wa TANESCO, Mha. Zakaria Mgalama, amesema mkutano huo umetoa fursa kwa nchi wanachama na wadau wa sekta ya umeme kujadili namna ya kuimarisha biashara ya umeme, miundombinu na usalama wa nishati katika ukanda huo. #UhondoTVUPDATES
#GenshinImpact #genshin #hoyoverse
welcome back Rue princess tutu Art cr Moyeeeeqen Sivalizarts _dekitateomochi CasuMarzyu scup_dtm #odette#genshin#GenshinImpact#edit#fyp
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy