mm mpka akaniuliza mbona hauko romabtic kama wadada wengine nkamwabia wafate😌
2026-08-08 09:51:42
18
Abby🌹 :
Kila saa umeshindaje umekula ukumbuke kunywa maji heeeeee nikaona ni usumbufu nikaacha kujibu nipo single tena🤣🤣🤣
2026-08-07 14:37:28
28
Josephin Muro :
Nyiuuuuu li mtu uko wapi, unafanya Nini, umekula nini utafikiri sijui chakufañya mi nilimpasha akapashika nikamwambia na nitamblock sitaki kupangiwa maisha 😂