@healthyfity1: Kuhisi moto unapanda kutoka tumboni hadi upande wa koo na kifua, mapigo ya moyo yanaenda kasi, tumbo kujaa gesi, kuhisi kitu kooni hizi zote ni dalili za acid reflux.. JE uko tayari kurekebisha mfumo wako mzima wa chakula??Unataka kurekebisha mfumo wako wa tumbo (acid reflux) Na koo??. Basi ni lazima kurejesha afya ya mfumo mzima wa mmeng'enyo wa chakula yaani kwa 1.kuweka sawa msawazo wa acid tumboni 2.kurekebisha valve inayotenganisha tumbo Na koo 3.kutibu michubuko na vidonda tumboni na kooni. 4.kusafisha mfumo mzima kutoka kooni adi njia za choo. 5.kuongeza msawazo wa bacteria wazuri tumboni JE uko tayari kurekebisha mfumo wako mzima wa chakula?? +255.696 256.671 #acidreflux #digestivehealthclinic #sorethroat

HEALTHY FITCLINIC  DR Geaz
HEALTHY FITCLINIC DR Geaz
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 07 August 2026 05:15:25 GMT
1040
21
1
2

Music

Download

Comments

user4546240825457
subira ally :
namimi nasumbuliwa nitapataje dawa
2026-08-07 07:29:59
0
To see more videos from user @healthyfity1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About