Huyo mdada ni mimi jaman😁😁😁😁 msiend kuniangali😁😁😁😁
2026-08-07 06:33:42
153
ciously🌝🎀🩵 :
Jamani leo birthday yangu 🩵🫂
2026-08-07 07:32:31
91
Ney 💐🦋 :
Ata ww nimzur Gigi wangu
2026-08-07 05:55:01
112
Pendo 36 :
Hata Wewe nimzuri sana🥰
2026-08-07 08:15:14
20
wagugu :
me nachompendea huyu dada hanaga unafki hata robo sintashangaa nikamkuta mbinguni
2026-08-07 13:20:17
21
Mom bless🥰🥰 :
Akuna kizuri kisicho kua na kasoro. No body is perfect guys.
2026-08-07 13:56:29
7
jackson😻😻 :
mbona kama kwl
2026-08-07 11:35:35
12
MUSA MANYEGE :
wew gigy money usijizalau bana
2026-08-07 08:16:50
16
Merry J,M :
mzuri hakosi kasolo kipenz
2026-08-07 08:08:52
69
Tiffah🫡 :
mdada mwenyew ndo mm msiende mbali kumfikilia
2026-08-07 10:03:14
10
Miss myyy official 😍😍😍 :
Ahhh binti yako so mwaaan🥰
2026-08-07 06:26:31
12
dishany :
ata ww ni mzur dada angu 💖💖💖
2026-08-07 11:53:44
7
DE@R💞💫💫💫 :
wooi
2026-08-07 05:27:02
7
karung kakwaya :
Nakupenda dada gigy wewe ni jeshi kubwa tena la mtu mmoja
2026-08-07 14:20:19
5
Grace Kasilwa :
nakupend iv iv dad ang
2026-08-07 05:59:38
8
elfuy :
bassssssssss
2026-08-07 05:41:59
0
mwanakher :
waooooo
2026-08-07 05:25:10
0
Rose dady🎵 :
Me ndomana nampenda gigy cose ni kanyoooka hanaga unafki🥰
2026-08-07 05:27:49
12
rashi me💕💕 :
yeah dada ila kila mzur akosi kasoro akun binadamu alokamilik vyote
2026-08-07 06:02:09
22
Himu icon :
umeanza vizur lkn 😂😂😂
2026-08-07 07:10:42
10
v mpore :
ooh jmn ila kweli wapo wadad wazur
2026-08-07 06:38:04
5
🥰 :
🤣🤣🤣 Uyo ni mm kbs kuna siku baba yang mdog aliniambia aaah kaka yang apa kapata mashallh ila wanang unakasoro moja tuuu ukilitoa neno lako yaan mtu anaenda kujisikilizia choon ili neno nimepewa mm au vp na jingn ukimchukukia mtu umemchukia ata afanye nn ww ndio ushamchukua jmn wallh nimejitaid kujibadilisha ila nimeshindwa
2026-08-07 09:09:22
2
Dude Lasha :
tunao mpenda gigy weka
2026-08-08 08:43:07
1
To see more videos from user @gigymoneynews, please go to the Tikwm
homepage.