lakini wewe pastor mgogo hivi kakuzaa nani kweli????????🫣🫣🫣🫣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila nakupenda Bure mungu akupe maisha marefu, wewe huwa hauogopi kusema ukweli , kweli wewe ulichaguliwa na mungu
2026-08-18 17:34:52
23
asnart :
huo ndo ex wangu kabisa .ukichelewa tu nikosa
2026-09-02 12:19:52
4
bwibo wa makunga :
mm nakalishwa Na wazee Wa kanisa kila cku😂😂 ogopa church boys
2026-08-19 12:22:49
29
Amisi Sumaili :
Hakuna binadamu yeyote yule anayejuwa mkristo ama mpagani mbali ni MWENYEZI MUNGU peke yake.kuhubiri neno si kusema ww ni mkristo. pole sana machoni pa MUNGU.
2026-09-05 04:58:18
0
anosterkuseka :
🤣🤣🤣🤣 pastor mgogo kweli umeogea point
2026-09-02 10:01:40
2
Elvillah Cosmas :
kwa hiyo mimi nina.mkono wa chumvi 😂😂😂😂
2026-08-08 05:25:59
20
emmanuely emily :
Asante Kwa neno
2026-09-02 03:46:58
2
robertngala3 :
ukweli mtupu
2026-09-08 15:19:32
3
Naomi Chemeli :
kweli kabisa nimewai olewa n pastor nilishidwa kuvumulia 😂😂😂😂
2026-08-31 15:15:19
5
user1760258871100 :
mungu ponyesha ndoa zetu.
2026-08-09 08:34:12
14
Dativa Mosha :
Ht ukishaur jema linageuzwa baya
2026-09-03 10:06:54
5
Ester _Allan :
😂😂😂daah unajua kwanini nacheka
2026-09-20 06:30:02
2
Joël baba :
wapagani mupoo njoni uku tumepata musemaji wetu 😁😁 ubarikiwe pasta
jamani mwenzenu nimetukanwa kwamba ni mchafu nina miaka 20 na yeye napika napakua lakini leo kaniona mchafu yaani sipiki tena mwenzenu ataingia jikoni mwaka huu
2026-09-23 17:52:47
1
mzinga :
Kwel kabisa pastor hujakosea
2026-09-02 10:29:47
1
#Bm_Kwetu :
Amina mgogo
2026-08-20 08:31:57
4
To see more videos from user @terwa943, please go to the Tikwm
homepage.