Kwenye huo mtihan ukijibu chochote una kesi na Mungu😁😁
2026-08-07 13:17:20
68
ca$h.$$haddow :
ukijib MUNGU ana Kaz na ww usiku wa leo
2026-08-07 20:45:48
3
FAZZY GIRLS💗💗 :
mbona mnatukosea Lakin
2026-08-07 12:48:11
11
Itinde.S.Itinde :
Umetisha
2026-08-07 21:09:54
1
mohamed :
we mwalimu mkuu wa kiswahili TZ😂😂😂
2026-08-07 09:24:33
3
Durrat_queen👸⚘ :
😂😂😂😂 mmmh jmn hapan
2026-08-07 16:47:05
1
Faraja. :
naomba niongezewe mda 😂😂😂
2026-08-07 18:25:52
0
shammy_mtg :
nikiwa kama kupanga wa kiswahili nasema kwamba hizi sentesi haziko sahihi, katika sentensi lazima ianze nomino au jina🤣 sasa hiyo ndy au hapana ni vielezi ambavo haviwez kukaa mwanzon mwa senetensi hvyo mtihan hauna majibu😂😂
2026-08-07 21:38:50
1
Isack Mange 2 :
saw
2026-08-07 08:20:07
2
Glory💰💰🤑 :
me nakua absent 😅
2026-08-07 09:46:54
2
lolamonie :
😂😂😂😂 uxhanitendexha dhambi taya
2026-08-07 18:42:51
0
sia girl♥️♥️🌹 :
nimejibia moyoni nimeshindwa kuandika na kutoa sauti mungu nisamehe sio kosa langu ni mwalimu😄😄
2026-08-07 19:13:46
6
Janjoh :
kwani mwalim wasomo alietunga mitihani anasemaje?
2026-08-07 16:38:19
6
black angel😇 :
duuh bora tu kiswahil liwe option kwa stail hii hatutoboi🤣🤣🤣😅😅
2026-08-07 12:04:19
1
mom prosper💦👨👦 :
picha inaanza nimeishia swal la kwanza mengine sijayaona😳😳😳
2026-08-07 17:04:00
3
asterian mseuli :
hahahaha kwisha mimi
2026-08-07 15:40:56
0
Jasmine :
MM SIMPEND MNGU/ MM BOLA NIPATE COLONA/ WW NA MIMI NISOKWE / MM SITAMANI KUFA/ MM SITO MUACHA SHETANI /
2026-08-07 16:37:22
3
KAWAWA :
haya maswali yalishajiamlia mambo yenyewe
2026-08-07 14:05:42
4
To see more videos from user @user84086102990175james, please go to the Tikwm
homepage.