Gari nzuri ila kwa atakae inunua kwanza atoke nayo apa hadi segera kisha arudi nayo moto chini, isipowaka taa yoyote basi wala kutoa moshi basi umepata gari
2026-08-09 13:48:23
2
Paluku joël :
Braza niko kongo mjini butembo tajaka $ sielewi za ki Tanzania kwa dollars ningapi tafazali nipe jibu