@ngoi_wa_mangai: Mfumo wa vocha gharama zake….na vifaa vyake mahitaji… Internet, kifaa cha vocha na mfumo wake, Cable na kifaa cha umbali . Mahitaji ya ziada min ups kwaajili ya umeme au kutunza power…. 🛜FURSA YA BIASHARA – ANZA KUUZA WiFi KAMA VOCHA! 🔥 ✅ Baada ya kuwa na internet yoyote ile 💻 MFUMO WA VOCHA (WiFi Hotspot) ✅ Ongeza kipato kwa kuuza WiFi kwa vocha ✅ Mtaji mdogo, faida kila siku ✅ CHAGUO LA MIFUMO 1.✅ MFUMO WA MANUAL – 350,000/= (Wengi Wanaupenda) ✅ Hakuna gharama za ziada baada ya malipo ✅ One-time charge ✅ Utaelekezwa namna ya kutengeneza vocha zako mwenyewe 2.✅ MFUMO WA AUTOMATIC Kwa Watu wengi zaidi– 600,000 ~ 800,000 inategemea pia na kifaa cha chake na uwezo wa watu unaotaka watumie ✅ Mfumo unajiendesha wenyewe ✅ Unaweza kuufunga mkoa mmoja na ukaendelea na shughuli mkoa mwingine ✅ Unaunganishwa na mifumo ya malipo kama • Selcom• Zenopay• Azampay✅ Subscription ya mwezi: 20,000/=mfumo. ✅ Unahitaji NIDA, TIN, Leseni ya Biashara au BRELA. ✅ ACCESS POINT / EXTENDER & COVERAGE (MUHIMU )Japo unaweza kwa kuanza bila kuwa nayo. Kama eneo ni dogo sana. ✅ Unaweza kufunga Access Point 1 au zaidi kulingana na ukubwa wa eneo lako ✅ Hii inakupa coverage kubwa na kuwafikia wateja wengi zaidi ✅ Access Point / Extender ni muhimu sana kwa biashara ya WiFi ✅ Access Point ya kawaida – 170,000/= (hadi mita 100) ✅ Access Point ya umbali mrefu (eneo la wazi) – 650,000/= (hadi mita 300) ✅ UniFi Access Point – 480,000/= (hadi mita 200 eneo la wazi) ✅ MAHITAJI MENGINE ✅ Internet ya mtandao wowote yenye kasi ✅ Cable mita 1 = 1,200/= | Roller ina 305mita 250,000/= ✅ UFUNGAJI & HUDUMA ✅ Dar es Salaam: tunakuja hadi site kumaliza kazi ✅ Mikoani: vifaa hutumwa/fundi anafika kwa gharama za mteja ✅ Labour charge hutegemea kazi 💰 MFANO WA bei unapanga mwenyewe. Mfano.. ✅ (Auto cut) labda kwa siku 1,000 waki konect watu 40 kwa siku itakuwa 40,000 kwa mwezi 1,200,000 ukitoa ya internet unayolipia inayobak ndio faida sasa. ☎️🛜Wasiliana nasi: 0710 802 580 🔥 Access Point nyingi = Coverage kubwa = Wateja wengi = Faida zaidi! #tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿 #mfumowavocha #dataflowtelecoms
Ngoi Wa Mangai
Region: TZ
Friday 07 August 2026 06:10:21 GMT
Music
Download
Comments
Abdyarts34 :
shingap kufunga
2026-08-07 17:22:35
0
emmanuel mosi :
io combination bei gan
2026-08-07 07:20:05
2
#YEE :
😳nahitaji hii
2026-08-07 09:33:44
1
mwita :
mnapatikana wapi mi nipo mwanza nahitaji sana
2026-08-07 08:55:12
1
djkzanzibar :
inaenda Meter ngapii,?? Mara mita 400 mara KM moja..!! hatuelewi nani mkweli sasaa
2026-08-07 09:00:23
1
umary :
bei gani
2026-08-16 19:36:05
0
Luonaturalsbeauty :
mbagala mpooo???
2026-08-18 18:59:01
0
bea :
shida ampokei sim
2026-08-10 20:00:43
0
Moses king :
Naweza pata ya km4😂 mkuu
2026-08-17 11:17:09
0
jambazriderlove :
Bei gan nijuw nichekuwe
2026-08-15 09:37:44
0
Partson Sanga :
ni bei gan naitaji kk
2026-08-13 19:57:16
0
Makumbele :
nipe namba
2026-08-11 05:55:57
0
Jay Brand 🔞 :
je kam route nnay mwenywe haram ya vit vyngne bei gan
2026-08-10 20:18:41
0
Jastin Chaula dreva Bajaj 47💕 :
vyote niwe na bei gani
2026-08-14 09:57:38
0
Eliab JR :
mtandao gan hyoo boss
2026-08-16 18:29:41
0
malibabas huduma Ltd🇹🇿 :
sh jumla?
2026-08-07 11:37:41
1
Zimba Electronics :
wi-fi 7
2026-08-07 07:58:37
0
Makumbele :
upo wapi
2026-08-11 05:55:52
0
Hamisi kisua :
uko wap
2026-08-18 23:36:18
0
cho ya :
iposiku mta taja beyTUU😁😁
2026-08-19 15:35:07
0
Kananga/tz :
Bei gani
2026-08-09 17:53:48
0
Elijah mastola :
ndugu im serious please deliver it to me
2026-08-09 10:08:33
0
Elijah mastola :
please nipe delivery please
2026-08-09 10:08:04
0
Humud Nassor :
wap hiyo
2026-08-09 08:21:21
0
#YEE :
boss
2026-08-07 09:33:24
0
To see more videos from user @ngoi_wa_mangai, please go to the Tikwm
homepage.