@sdp_updates: Eti limekaaje hili? mlioko kwenye Ndoa au mnaoishi pamoja

sdp updates
sdp updates
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 07 August 2026 07:35:05 GMT
27932
790
58
107

Music

Download

Comments

gfather52
g'father :
Big up brother
2026-08-07 19:16:38
0
hashim.abdallah
Hashim Abdallah :
😳 that iz
2026-08-07 08:48:11
0
nibretstudio
nibretstudio :
moja kwa moja status
2026-08-07 10:03:15
5
kauthar682
kauthar :
Mimi inategemeana na tumeamkaje kama tulilala tumenuniana Kila mtu anatoka kimyakimya hakuna anaemuuliza mwenzake .😂
2026-08-07 15:26:02
2
masfar21
Masfar :
sio mfumo dume, mume ndio kiongozi wa mke kwenye ndoa
2026-08-07 10:34:05
11
sir0405
sir. :
kweli hakuna baba wawili kwenye familia, mwanaume ana aga, mwanamke anaomba ruhusa, kuna kukataliwa na kuna kukubaliwa, ila mwanaume anapotoa taarifa haombi ruhusa na mwanamke hafai kukataa moja kwa moja hata kama anajua anapo enda sio pazuri basi yafaa amshauri mmewe amwoneshe madhara ya anako kwenda ila sio kumzuia maana sio adabu
2026-08-07 08:45:35
12
winner192837465
🦋De Winner🦋 :
Mwanaume kuaga sio vibaya jaman sema sisi Tunaomba ruhusa ya kutoka labda kwenda wapi ila mwanaume ukiaga hata kwa kusema natoka kidogo kunashida😳😳
2026-08-07 18:35:29
1
old_newtestament2
SAUTI YA MAWINGUNI :
mwanamke anapotoa kutafuta anatafuta kwaajili yake binafsi lakini mwanaume akitoka hutoka kwaajili ya familia yake akiwemo mke
2026-08-07 09:10:02
4
dotto.cery
dotto cery :
si sawa ukisema pesa ya mwanamke haipat kwa jasho ni uwongo huo ni mfumo dume kinachotakiwa kil mmoja awajibike kwny nafas yke kingine kumuag mwanamke si kwamba ndo ujinga hapn bali kuna mambo meng dunian umepat matatiz mkeo anajuaje
2026-08-07 08:49:13
3
richard.yonah5
Richard Yonah :
ndio maana wanaolewa
2026-08-07 15:33:46
0
user41462886561463
user41462886561463 :
kuna kuaga na kuomba ruhusa
2026-08-07 15:11:35
2
victorbucha6
victorbucha6 :
NDOA ndio taasisi kubwa kuliko taasisi zote duniani maana ndio taasisi peke inayosimamiwa na MUNGU.
2026-08-07 15:41:14
0
maitham.khamis
Maitham Khamis :
huo ni mfumo wa mungu kaweka
2026-08-07 15:07:43
0
kalamba_jr
kalamba Jr :
ngoja waje sasa😁😁
2026-08-07 10:58:06
0
sadikimbena2
Francis Mbena :
kwanza unapo mtoa mtu kwao akaja kwako ww tayari Usha kuwa mlinzi wake kwasabu kitakacho mpata popote lazima uwe wa kwanza kuwajibika
2026-08-07 10:13:14
2
mzabibukihwele
user6032120194803 :
Si sawa, usiyopenda kufanyiwa Wewe na mwenzako mfanyie hayohayo
2026-08-07 08:03:54
3
user5323369387341
EZE KIHEGULO :
neno hili tumekubaliana wanaume wote wenye akili tena akili timamu
2026-08-07 09:43:25
1
last.king9987
😎Last king🤴 :
Mumee anatoa tu taarifa na sio kuaga na mwanme ndio kiongozi
2026-08-07 18:36:54
0
mathayo.augustino
Mathayo Augustino :
ata so kuaga mwanamk haagi anaomba ruhusa
2026-08-07 17:01:27
0
xavierponera
xavierponera :
kama unaolewa utaaga
2026-08-07 18:27:22
0
mo.saic3951
mosaic :
mfano una gari mbili, gari moja ni ndogo mibovu mbovu na kuna gari jengine ni la thamani sana na ni zuri kwelikweli, wewe mmiliki umepata hela ya kununua GPS ya gari, ni gari lipo utafunga GPS hiyo? Jibu utakalopata ndio litaamua kati ya Mke(gari zuri) na Mume(gari bovu) nani anatakiwa ajuulikane yuko wapi na anafanya nini (kuaga)
2026-08-07 17:11:43
0
saidkhamis228
Said Khamis :
mtangazah vip tukuchunguze au
2026-08-07 17:52:28
0
nchimani4
nchimani4 :
anakuhoji ameoa kwanz maan haya maswali anatakiw akuhoji mwanamke
2026-08-07 18:36:01
0
david.myalle
David Myalle :
Hata kama ni Mfuko Dume, ndo unaotakiwa, Hatutaki Mfuko jike
2026-08-07 10:37:11
0
user9433973461685
user9433973461685 :
ukiwa kwa mchepuko ndiyo munawaaga unarudi kwa mkeo mh kwnini isimuage unako kwenda
2026-08-07 18:59:15
0
To see more videos from user @sdp_updates, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About