Mim nasikiliza hip toka mwaka 2000 disaster ni rapper mkali lakin ni story tu anaimba kama babu anaehadisia wajukuu wake unaweza ukachukua nyimbo za disaster albam nzima halaf ya Fid Q moja tu
2026-08-07 13:47:39
6
Babu Ally :
Dizasta si waku fananiswa na yeyote ata FDQ haja wai kuota kutema v2 vya DZSTA..!!💯💯💯
2026-08-07 09:11:01
7
FRANK :
Dizasta vina hakumdiss mtu
Yeye alisema "Tanzania hakuna mroma mwenye stamina ya kubatle na mimi" hapo hakumdisi mtu but media huwa zinachangia sana kuchochea beef kwa wasanii
2026-08-07 12:29:06
5
darshan :
kweli kabisa hapo ndo maana nakukubali we si mnafiki
2026-08-07 07:47:41
6
Ray :
nimeamini kua disaster vina ni mkubwa sana ona stamina alivyo kwepa hapo
2026-08-07 16:51:45
1
Amoxclave625mg :
Underated🔥 🤞
2026-08-07 08:05:45
1
☥ Ba Mchaga ☥ :
Kikubwa sana💪💪
2026-08-07 10:33:36
2
Dark-mode :
vina🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-07 20:17:38
0
Dream Teams :
nidham kubwa sana kaka stamina. wote wangekua kama wewe wangefika mbali
2026-08-07 17:04:49
1
Big D :
Hii ndo maana ya maturity
2026-08-07 12:48:45
0
JOSEPH EYE :
mbn mnachochea beef
2026-08-07 15:08:41
0
mikihussainkaku :
wote wakali
2026-08-07 14:06:19
0
Roy Analytic🌴 :
Dizasta ni mmoja tu nyie
2026-08-07 09:11:25
3
Sure Boe Tz :
ninja
2026-08-07 08:48:31
0
prince kigoma +255🇹🇿 :
saf sana hii ndio mana ya ukubwa sasa 🔥🔥🔥
2026-08-07 14:10:52
1
Vanich :
Hapo kwenye kibiashara upo sawa, mimi ni shabiki yenu wote. Kwenye biashara kweli upo sahihi saf
2026-08-07 09:18:48
0
KASELEMA JR :
stamin n rappa mkali but muoga o.g mwenyew amewah kwambia kamwibia kaka tuchat na penyew ajawah ongea chochote 😅
2026-08-07 16:22:07
0
Morgan Collins :
broo Uyo amumuwezi hata kidogo
2026-08-07 18:35:09
0
THE REAL KENDRICK :
ULIMSHINDWA SHETTA BRO DIZASTA HUMUWEZI ATA IKIWEKWA HIYO BIASHARA UNAYOISEMA
2026-08-07 11:41:42
0
Mr conaa :
stamina sio rapa ni mlain uwezi mfananisha na @Dizasta Vina bora uwasikilize hata Hawa sio @UDANI GANG stamina aisee
2026-08-07 11:57:18
0
To see more videos from user @mamen_nobo, please go to the Tikwm
homepage.