@mubba86: Mtaalamu wa wanyama pori anasema ikitokea katika haraka za hapa na pale umekutana na simba usikimbie bali simama na umuangalie machoni. Mtaalamu uyo anasema kwa wanyama kama simba ukiwaangalia machoni uwa wanaona aibu na kukimbia ila ukimgeuzia kisogo atashangaa kwamba ni mnyama gani huyu ivo atakushambulia.#eastafricatv #tanzaniantiktok🇹🇿 #kitengeupdates #timuyawananchi #timuyawananchi

mubba
mubba
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 07 August 2026 08:05:28 GMT
3374
63
3
1

Music

Download

Comments

yahya_abdi1
Bayaa_Classic :
Simba gani kwanza😳😳😳
2026-08-07 08:52:17
0
ashaqueen995
Asha queen✔️ :
Labda simba la masimba 😳
2026-08-07 10:25:11
0
mchuja.nafaka.cha
Mchuja Nafaka Champama :
Uyo labda simba dangote
2026-08-07 10:03:22
1
To see more videos from user @mubba86, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About