Mnafanya kazi isiwe professional? polisi ni kazi inayofanyika kwa mujibu wa sheria. Ni rahisi tu, upo chini ya ulizi kwa kosa 1,2 3 hivyo andaa wadhamini. sasa maneno yanakuwa mengi, police should not invite unnecessary confrontation.
2026-08-08 13:58:56
13
verdis Embassy Tanzania 🇹🇿 :
tutaendelea nao 2030
2026-08-14 17:38:50
2
AYOUB A.BIZO :
Kwan uyo nae bisha si polisi au
2026-08-30 09:27:11
2
Abuuirfan :
tusomen jaman
2026-08-18 10:25:09
3
lee-don-work :
mbona polisi wameshatoa maelekezo sasa ubishi wanini
2026-08-09 05:11:39
10
ELIBOY9T🇹🇿 :
police ni ccm nawaambyaaga mnakataa
2026-08-08 10:51:35
4
Dismasi Mrosso :
police hatuwataki
2026-08-13 10:39:05
1
user7907421881251 :
acikari mutende haki acheni siasa
2026-08-08 08:21:44
4
ramflo :
nashindwa kuelewa😳
2026-08-18 13:41:23
1
Victoria Zakaria :
viongozi gan hatuwajui hao nimaadui wetu sku zote
2026-08-08 09:54:10
4
Sila Nditi :
sasa mnabishana na walioagizwa?
2026-08-17 18:56:46
5
sslivanus13 :
iyo siyo kaz
2026-08-18 09:12:50
1
@ksingle_maw779 :
mung ata walipa tyu kwa kila jambo
2026-08-09 03:50:29
2
chidy white :
ila hii nchi hii
2026-08-26 15:07:34
2
7 day :
hapo saf
2026-08-08 08:23:50
1
Armando Guebuza :
taifa limejaa dhuluma kila pahali
2026-08-30 05:58:30
1
its ferion :
kiprotoko police kama kuna kitu hakipo sawa kiutaratibu yaani kuna afisa mkaguzi na nyota zake ila anaetoa maaelekezo constable hii imekaa vip wakuu???
2026-08-26 21:03:43
1
Muu :
mtajuwa wwnyewe bhana
2026-08-08 08:45:45
4
kabaisa786 :
Wauwaji
2026-08-29 05:05:17
0
Stde'golden :
umaneni wenyewe kwa wenyewe
2026-09-11 19:37:00
0
ochu business :
washaanza kutoana maini
2026-08-30 16:41:23
0
chafu pozii 45 :
tutawafuatilia wote
2026-08-31 08:31:15
1
d2 :
kwani kuna nini mpaka wazuie watu
2026-09-01 09:33:01
0
Daddy whisky :
wachane broh
2026-08-21 06:53:18
0
To see more videos from user @barakayanga_, please go to the Tikwm
homepage.