@kinanga.tv: MARA YA MWISHO KUSAFISHA MASIKIO YAKO ILIKUWA LINI?! 😁 Kiafya ni muhimu sana kusafisha masikio kwani husaidia kupunguza msongamano wa nta zinazoweza kusababisha usikivu hafifu, kuzuia maambukizi katika masikio kwani msongamano wa nta,jasho na bacteria huweza kusababisha ugonjwa wa masikio.... ✍️