mama yake mzazi kasem tumkome mwanae kapewa kipaji na Mungu
2026-08-07 16:29:44
39
Msizwa 68 :
TRUE SAY BRO 🫡🫡🫡🫡
2026-08-07 21:36:38
0
Niyonkuru Etienne :
it's true 👍
2026-08-08 09:45:47
0
Mamy yusrat :
Ni kweli kabisaaa Allah atunusuru na vizazi vyetu
2026-08-07 15:31:58
23
50 centyEliya Getema :
aiissee
2026-08-07 21:29:59
0
Grace mdot :
kweli wanawake wanachangia
2026-08-08 06:30:35
7
Hansiberth :
niwakumbushe tu wanaume tusiwatelekeze watoto wetu kwa mama zao tubebe majumu yetu kama akina baba, inakwaza sana kumuona mwanao yupo ivo🥺🥺
2026-08-08 07:48:26
4
De7 :
Wakina mama ndo Kipengele kwenye haya maisha!
2026-08-07 16:37:46
8
silver OG :
Daah wanaume tumebaki wawili2 mimi na babaangu mazazi basi 🥺
2026-08-08 07:05:13
3
Daktari🧑⚕️🩺Mkuu :
tumeanza kufeli Sisi wanaume, tumeshindwa kuwamudu wanawake na pia ni Sisi wanaume tunaaribu watotio
2026-08-07 17:19:16
5
Fatmasaid :
baba yake mtt yupo wapi jamani
2026-08-07 21:17:24
6
h :
kwani serikali ipo wapi jamani
2026-08-07 21:24:17
1
Burhany....(Br7) :
MI niko 100% huyu mtoto anaishi n mama tu baba ayupo na mtoto tunampoteza huyu walai🥺🥺🥺
2026-08-07 19:45:23
2
Young 60 :
nouma
2026-08-07 16:52:25
0
Tind20 :
yule dogo anakipaji tatizo ni shughuli anazofanya tu ,Sasa nyie ndio mumsaidie kumpq michongo mbadala ,sio mnasema tu
2026-08-07 16:03:10
1
user7173297467386 :
tumeumia wengi
2026-08-07 21:02:35
1
ester pajume :
mzazi wake kasema tumuache mwanae tumkome tusimfatirie anadai mwanae anakipaji ndicho anachojua mama ake
2026-08-08 10:09:32
0
Zakia Kamgisha :
kweli kabisa kwanza kiumri mdogoo jamn kwan anasom dalasa la ngap
2026-08-07 20:57:18
1
Tunu Ally :
kweri kaka umesema lweri
2026-08-07 15:41:10
1
s❤️ :
hii inasikitisha sana wallahi
2026-08-07 15:41:01
1
siwazuri :
kweli kabisa na mwenye mtoto pia anamtetea nashindwa kuelewaaaaaaah
2026-08-07 11:31:28
1
mayrah💕 :
ongea kwa umoja bana usituweke sis kwenye wingi coz sisi tu tunaomba Mungu anusulu vizazi vyetu
2026-08-07 16:10:56
2
Godlove in Wheels :
Hadi nimemkumbuka sana Magu angalau alikua anatoa sauti kukemea haya mambo. Lakini sasa hivi wananchi tu ndio wanapaza sauti. Ukimya wa wakubwa ni kama unatoa ruhusa haya mambo kuongezeka.
2026-08-07 18:07:11
1
Bandaboy :
kwann selekal yetu ipokmy
2026-08-08 12:16:20
0
To see more videos from user @chief_maalim_mpiri1, please go to the Tikwm
homepage.