@evamrema2: TUNAKUMBUSHANA TU. Lengo ni kuifanya Dunia kuwa sehemu salama pa KUISHI. ✍️ Eva Mrema Mshauri wako wa uhusiano, ndoa na maisha. Mkufunzi wako wa maisha yenye usawa wa hali. Mponyaji wa Saikolojia Yako. For consultation and public speaking plz DM. Karibu, gharama ni nafuu. #healyourself #trendingreelsvideo #viralreels #trendingreels #fypシ゚viralシ
ndoa ni kwa ajili ya mwanamke mwanaume afaidishwi na ndoa kwa namna yeyote ile
2026-08-08 10:32:54
31
MOM…J :
Ana ndoa huyo tuanzie hapo
2026-08-07 13:30:40
8
It’s Rachel🦋🐝 :
Na yeye kwa nini kila akiambiwa kitu aseme baadae?? Na sisi tunapenda kufanyiwa vitu kwa wakati 🥸
2026-09-29 06:38:37
1
cute clothes 😍 :
dada hakuna mwanamke anaye fanya hivyo kwakupenda wewe tulia yatakukuta kipenz mwanamke ukimuonyesha kumpenda atakupa hata dhahabu aliyo ificha ila kama una mdharau hupati hata iyo eshima
2026-08-07 13:59:50
19
Amanirenas✨ :
Eeeheee sasa nisisuke😂😂😂😂😂
2026-08-07 18:37:21
5
Eva Mrema. :
sema wanawake Sijui mnanini, mfano walioiripot hii video wanaumwa nini? any way poleni Sana. maumivu yakizidi nilipeni niwaponye.
2026-08-14 10:18:03
12
janelove :
Ni sawa unasubir hiyo ijumaa uliyoambiwa unapewa unashangaa kimya mpaka ijumaa nyingine inafika kimya afu unamuona kanunua labda shati 😆utaendelea kusubir? Muda ukipita wa ahadi nafanya mwenyew over
2026-08-08 06:29:05
6
Martha H😋 :
samahani dada umeolewa????
2026-08-08 12:06:05
6
07&$ :
Sipend dharauuuu😂😂😂mm nafanyaaaa kilaaaa kituuu
2026-08-08 06:24:48
10
Bigmnyama :
kaongea point mnooo
2026-09-12 18:40:44
1
silosmaria :
sisterhood❤️
2026-09-11 05:39:37
3
khalfan makoyo :
MashaAllah
2026-08-16 10:27:41
1
Eng_Mo'h :
mungu ametuletea mtetezi
2026-09-03 15:34:09
2
mwakyoma :
dada nimependa umenyooka
2026-08-08 04:41:49
8
Loyceabela Mlashani :
Well said
2026-09-01 16:08:31
2
damas :
Baada ya kudai haki sasa wamegundua furah ni heshima
2026-09-04 18:41:48
1
MAMA BOY'S :
sasa kama ata usubili wiki hakupi unatakiwa ufanyeje
2026-08-07 11:52:06
6
gtz :
Dunia tunayoenda kuishi itakuwa ngumu sana kwenye masuala ya ndoa. Wanawake wenye akili ya kujua kanuni za taasisi za ndoa wanazidi kuisha na nyie ambao mmeamua kutoa mafunzo bado mnakutana na vipangmizi toka kwa kizazi ambacho kimefundwa kupitia mitandao. Ukiongezea na suala la wanawake kuanza kumilik uchumi basi ndo matatzo yanazidi. Hongera dada nafarijika kuona bado mpo ambao mnaijua misingi ya taasisi hii ya ndoa
2026-08-08 04:31:05
8
nathan from Rupia :
sahihi sana
2026-08-22 08:14:18
1
Boss lady :
Jaman ushaur kila kona
2026-09-14 08:33:18
2
shabanmlekwa :
Nipo nafanya mazunguzo na waziri wa mambo ya nje wa Iran Abbas Arachi tukuwekee ulinzi.
2026-08-09 20:21:06
4
Gidi :
mungu nakuomba unipe mke kama uyu
2026-09-02 14:32:20
3
𝐒𝐚𝐝𝐫𝐮 𝐤𝐡𝐚𝐧!🌹 :
Huyu ni mwanamke anaejielewa.. na kuelewa nini kinaendelea na nini cha kufanya.💯
2026-09-13 08:09:08
3
MsafiriThePodcast :
Kufanya sio tatizo shinda ni unafanyaje kwa dharau
2026-08-17 03:50:20
3
To see more videos from user @evamrema2, please go to the Tikwm
homepage.