@_awery: Au nina roho mbaya alafu sijui😂😂

Psychic Medium Awery ✨
Psychic Medium Awery ✨
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 07 August 2026 11:29:59 GMT
8027
606
47
33

Music

Download

Comments

zarinahkismart
zarinah kismart :
ukwer mchungu😔
2026-08-07 15:05:25
0
neylu7
Neylucero divas :
Am 27 but sitaki asee am still children
2026-08-07 13:20:10
2
felister093
felister093 :
nikwer
2026-08-07 13:24:38
1
ms_chemmy
Ms Chemy99 :
Haswaaaa usizaeee Kama hujiwez jmn🥺
2026-08-07 11:57:18
18
babytaurus2422
✨Taurus girl🦋♉️❤️ :
Mm mwanangu Ana miaka miwili, Nilimuacha nyumban kwangu na dada wa kazi nikaenda njombe kufanyakazi, nimekaa 3wks nimerudi Dar kumuaga mwanangu nimekuta kanawiri vzr, kapendeza kuliko hata nilivyo kuwa naye hakika nimepata moyo wa kurudi kutafuta.. Na Mungu ambariki sana msichana wangu🥹🙏 Nina uhakika mama dunia alimleta kwangu kwa kuona changamoto yangu ya kukosa mtu wa kumuachia mtoto..
2026-08-07 12:59:18
6
mankithoo13
MANKA :
tumewachoka naushauri...
2026-08-07 13:44:57
3
daynamite.sparkle
Daynamite 20 ✨️ :
iyi kitu nimekua naifikiria ili Wikiiyan
2026-08-07 11:52:15
2
itckarma6060
MamaIcon😌💜 :
Af me mtoto kawa chanzo cha mm kutafuta ila nayoyapitia uwiiii Mungu ndo anajua
2026-08-07 11:45:04
5
buleathman
ummuAyman12 :
🤣🤣🤣wifi umengoja nizae ndio useme sijapenda😂😂😂ungekuja hata inbox
2026-08-07 11:57:04
4
liessengabir
NGABIRANO~FS :
Jamana tuwe tunawaachia hawo wanaume
2026-08-07 12:25:08
3
user612852075958
@mammy :
utakuwa na roho.mbaya alafu ujui😂😂😂ila Sauti inatosha
2026-08-07 11:51:59
0
dr..reth
Dr. Reth🪷 :
Awery Hiki kitu Nimemwambia mtu Leo Halafu nimekuta umekiongelea Mtoto anaweza kuwa anguko la Mwanamke💯 Tena inakuwa mbaya zaidi pale anapojustify kwamba ni Sawa kuanguka kwa sababu ana mtoto.
2026-08-07 11:53:34
4
favourednardal
nado🦋 :
Hadi nimelia🥹
2026-08-07 12:26:13
2
cynthia_mts
Cynthia mts :
Inauma🥹🥹
2026-08-07 12:04:58
1
taji2018
that man from 🇹🇿 :
zaa mmoja ukizidisha sana wa2, maisha ya sasa ni 🤔🤔
2026-08-07 14:45:34
0
user8837538178195
mom g :
mimi ni Shahidi mwaminifu nilikoma mbona nimeishi maisha ya mateso makubwa mpaka watoto wamekua wakubwa na wamesoma.namshkulu Mungu Sasa wamekua wakubwa Ila zoezi la kumuacha mtoto hata mmoja sikuweza hatimae wamemaliza vyuo vikuu ndo natafuta utajili saizi inshallah mimi ni tajili Kwa uwezo wa Mungu.
2026-08-07 15:17:20
1
favourednardal
nado🦋 :
ukweli mchungu
2026-08-07 12:19:59
1
namuza5
Namuza💕 :
Mtu a like jmn
2026-08-07 15:14:08
0
poshy.gee14
poshy Gee14 :
usiwamini wasichana
2026-08-07 15:08:54
0
mercy.alois
Mercy Alois :
bora umesema wew ndo Hali nayopitia nashindwa kuanzisha maisha mengne na mtu mwingne sababu ya mtoto na yupo Kwa Bibi ake
2026-08-07 14:31:31
0
roseypoph
roseypoph :
Hapana jmn yote kwa yote mtoto wangu ananipa nguvu yakuendelea ni baraka kwangu🥺🥺🥺
2026-08-07 14:29:39
0
momy.gze
✨Isher🌺Mushi❤ :
Awery❤
2026-08-07 15:07:18
0
habibty219
Qalb 💕 :
Nakuelewa!!! Sana ndo Hali nayo pitia this time 😭
2026-08-07 14:20:06
0
To see more videos from user @_awery, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About