@afya.care2: Kuna wanawake wengi wanaobeba maumivu haya kimya kimya. Wanacheka mchana... Lakini usiku hulia😭😭 wakijiuliza: "Tatizo langu ni nini?" 💥Kumbuka, si kila changamoto ya uzazi ina sababu sawa. Uchunguzi na ushauri wa mapema vinaweza kusaidia kuelewa kinachoendelea. 💬Kama unapitia hali kama hii, andika "NIKO TAYARI" au nitumie ujumbe.#AfyaCare #AfyaYaMwanamke #Uzazi #TikTokTanzaniaWanacheka #usa🇺🇸