@starmaner5:

Star Maner Official 🇰🇪🇺🇬
Star Maner Official 🇰🇪🇺🇬
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 07 August 2026 12:44:13 GMT
27437
449
31
95

Music

Download

Comments

elizabethlinus200
Linus :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uwiiiii nimecheka kwa sauti alafu nipo kwa watu
2026-08-08 13:45:54
0
user3758019002206
NeyTz🇹🇿 :
pesa siyo shida zake jmn🤣🤣
2026-08-09 10:28:18
0
user6215731149674
meemah🥰 :
chezea andazi ww😂😂
2026-08-08 10:30:45
3
hamisi.bakari.7504
Hamisi Bakari 7504 :
Dogo ana akili sana kajiongeza
2026-08-09 06:12:39
0
rehma.omary4
Rehma Omary :
jamani ukute mimi uwa nakosea kuchagua
2026-08-07 16:44:06
1
miss818953
miss 💃😝 :
asant mwanangu 😂
2026-08-08 15:23:45
0
mr_chelsea92
official_mosigwa jr 92 :
pesa za kununulia vitu...na vitu ndio hivyo
2026-08-08 15:07:49
0
user2351753735371
shani :
Jamn mbavu zangu Mimi mambo ni maandazi hizo soda pesa utajijuwa mwenywe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-08 18:47:55
0
daria.tonny.tonny
Daria tonny Tonny :
mweeee
2026-08-08 09:54:33
0
jumpjastin
mzee wa bajet :
jamani achukue hela akikuta vya kununua vimeisha au maduka yamefungwa beba msosi ,Hela niza Serikali. mjini apa utaibiwa
2026-08-08 15:28:43
2
toonage2025
🌸🌸 :
maandazi kwanza pesa ntatafta😂
2026-08-08 08:17:25
0
daima.zumba
Daima Zumba :
heee
2026-08-08 06:01:54
0
sangacopper
sangacopper :
pesa zinatafutwa kwanza nishibe
2026-08-08 09:26:23
2
mideko17
Mideko :
saf ameona bora maandazi izo pesa bakinazo sio shida zke😆😆😆
2026-08-07 14:07:00
1
stellaswai656
Stella Swai :
ajatoka kas kazn 😂😂😂
2026-08-07 18:57:58
0
mariam.shaksi3
mariam shaksi :
maandazi chakula pesa sio zake hizo
2026-08-07 19:44:01
1
justiskaizacom
Justiskaiza. Com :
Nishibe kwanza
2026-08-08 09:12:24
0
user45725450726107
Mungu ni kl kitu :
mchaga hata awe ana mwezi bora asinyonye ila hela aione
2026-08-08 14:56:31
0
joseph.abdallah.l
ibarwe mng'ashini :
huenda mtoto wa kizungu angechagua pesa.
2026-08-08 13:18:21
0
victoriamgao
VictoriaMgao🥰🥰🥰 :
mwanetu kaona bora shibe
2026-08-09 13:34:47
0
royce.ally
Alison :
aliyeimba ccm na andazi anachagua andazi hakuwa mjinga
2026-08-08 13:47:37
0
saidjuma91
SIDE SIDE :
bora achukue redimade🤣
2026-08-08 13:53:29
0
marymarenga1
Marenga :
bila shaka huyu si mkikuyu😂😂
2026-08-08 08:14:50
0
msangi3676
Ndamajeuri :
yupo sawa kilamwana nchi akishiba pesa zngekua nimapambotu kelelezote ninjaa
2026-08-08 07:19:43
0
To see more videos from user @starmaner5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About