@pastor.christinemlingi: SIKILIZA HADI MWISHO || PASTOR CHRISTINE MLINGI

Pastor.ChristineMlingi🙏
Pastor.ChristineMlingi🙏
Open In TikTok:
Region: EN
Friday 07 August 2026 13:38:18 GMT
476026
40712
1482
4983

Music

Download

Comments

heriethher
keyzz :
Kuna watoto wanaumiza wazazi alaf kuna wazazi ni mwiba kwa watoto wao mungu tutetee
2026-08-07 19:19:42
244
user6269615746778
cute Jamie😚 :
Jaman me mwenzenu Sina uwezo wa kukumbuka ndoto nazoota nifanyeje 😥😥
2026-08-07 20:45:08
43
user7950549833065
user7950549833065 :
sure Amen
2026-08-12 23:19:07
0
vanessammole
Vanessa Mmole :
Nahumu 1:9 - mnawaza nini juu ya BWANA? Yeye atakomesha kabisa mapito, mateso hayatainuka tena Mara ya pili .
2026-08-07 15:39:35
64
quincy.quincy21
Quincy Quincy :
Amen pastor... I wish my brother could listen to this
2026-08-12 03:16:45
1
princess_machozi
Eto Albertina :
asante
2026-08-13 05:34:53
0
user8014062687041
user8014062687041 :
amen mama pasta
2026-08-13 06:48:07
0
dgbahatidavid79gma
[email protected] :
kweli hii ujumbe limeni jenga sana yani sana mno.
2026-08-08 02:14:44
41
jairusmusanyi
JJ :
umenikuza pastor👏👏👏🙏🙏🙏
2026-08-11 12:01:54
0
user402250099744
Annah sweet cakes 🎂 🥮 🍥 🥞 :
samahan mama naomba kuuliza juu ya mapambo ya wanawake ni dhambi kusuka kuvaa heren cheni na kujipaka make up? nisaidie kwa hili
2026-08-09 19:33:54
5
taikoyakobo90gmail
yakobo saitoti taiko🇹🇿🇰🇪❤️ :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Ameen Ameen Ameen Ameen
2026-08-09 00:32:55
5
raelnanjala91
Nanjash :
mungu nipe nguvu y kuwalea wazazi wangu nisije niawateza
2026-08-08 03:31:23
38
prisca63074
prisca :
Nataman hata waisikie hii watu wanao taka mafaniko kupitia wazaz wao. na MUNGU atusaidie wote tulio sikia hii amen 🙏🙏
2026-08-07 16:44:43
74
winiigulu
WiniIgulu :
huyu mama natamn awe mama angu wa kiroho
2026-08-08 00:44:55
17
mariamichael9135
Mam Michael :
amen pastor Mungu akupe maisha marefu eee Mungu nilindie wazazi wangu
2026-08-10 12:08:35
17
athumani.mayanga
Athumani Mayanga :
asante
2026-08-11 21:03:04
1
stunnerah
I am me😍 :
Waeshim Baba na Mama upate miaka Mingi na Heri duniani
2026-08-09 05:58:54
17
user5911221945591
kuresha bille :
funzo nzuri mungu akubariki dada
2026-08-10 04:18:15
7
aloycevictor89
official aloyce🌠💞 :
mungu mimi binafsi naomba unisaidie nisifanyike kikwazo kwa wazazi wangu 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-07 21:25:26
16
kidungu_maria
Kidungu Maria :
Nahumu 1:9 - mnawaza nini juu ya BWANA? Yeye atakomesha kabisa mapito, mateso hayatainuka tena Mara ya pili .
2026-08-07 14:58:38
30
user3627683796197
user3627683796197 :
Ni kweli mtumishi unachokisema,Ee Naomba uwarehemu wazazi wangu🙏
2026-08-07 21:16:23
10
hamed.hilal2
user49369270654 :
Hili funzo kwawanao dharau wazazi
2026-08-07 22:04:50
5
naomicharles22
naomicharles :
Mungu uwape raha ya milele wazazi wangu walotangulia mbele ya haki. 🙏😭😭😭😭
2026-08-07 20:23:19
11
bardgirl004
badgirl :
eeeh Mungu nisaidie busara na heshima juu ya wazazi wangu nisije nikawadharau hata siku moja🙏🙏
2026-08-09 06:55:12
7
reeny_shy
Gracious💕 ✨🙈 :
Kwani kanisa la huyu mama liko wapi?
2026-08-07 20:31:24
5
To see more videos from user @pastor.christinemlingi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About