nawapigiaje wakati wamenilea kumbe ndio wameniloga maisha yangu jamani mpaka nafunguliwa wanasema hatumtaki asije huku nyumbani hivyo sina kwetu tena najikaza sababu nimeokoka sitaki kuliwazia maana hata hii meseji naandika huku machozi yananitoka mlezi ninaemuombea na kupambana kulipa Fadhila kwa alivyonilea kumbe ndie alieharibu maisha yangu sina kwetu zaidi ya kwa Yesu mwaka huu Mungu kanifunulia mateso yangu yanatoka wapi tangu nimezaliwa ngoja niishie hapa wazazi walinikataa nikiwa miez 6 walezi walionilea waliniloga sina kwetu leo kuna wakati siamini kama kweli ila inabidi nielewe ngoja niishie hapa