🎯SWALI
Zile Alama Za Mwezi Na Nyota Kwenye misikiti Zinamaanisha Nini Kama Sio Sanamu?? ahsantee 🙏🏻
2026-08-08 06:10:30
5
lucas iluka :
wewe ni mwalimu mnzuri
2026-08-08 04:44:29
37
Stranger :
Toa Elimu tuelimishe sisi na wao. Allah akupe mema ya dunia na akhera amiin
2026-08-07 16:33:00
55
BATUNARM :
kwa helimu yako mwalimu ungekuwa mkristo tayari ushakuwana na kanisa na unakuwa nabiii tayari apa wakristo tujifunze kitu kwa wenzetu, mbona wanakhelimu kubwa sana na hawafungui misikiti. kwakweli mkuu umenivutiaa kabsaaa mungu akuongezee miaka uendelee kutufindisha maana maongezi yako hayana ubaguzi wa kidini unaelezea vizuri hauongei kiushabiki..🙏🙏🙏🤝🤝🤝🤝
elimu dunia + elimu ya akhera ni hatar Allah akuhifadhi shekhe wetu
2026-08-11 14:44:13
19
T͜͡K ・ PムP¥ :
Nsipokufollow nitakuw sijafanya haki ustadh wang allah akupe afya na atuongoze kwenye njia ya kher🙏🏾
2026-08-11 07:27:09
7
user19947507479271 :
shekhe naomba uanzishe group la kufundisha ili tufaid elim ulionayo shekhe wangu
2026-08-09 03:52:07
6
Swaleh Abdulrahma575 :
Mwalimu Allah akuhifadh najivunia kwako
2026-08-08 19:05:48
8
Aisha Yusuph :
subbhananllah ama kweli Quran haikuacha chochote , nashukuru Allah kwa kuzaliwa muislam
2026-08-08 12:40:48
15
Seedy ⭐⭐ :
Allah hakuifadhi mwalim
2026-08-07 14:10:50
22
bin issa ktchen dish :
Baba halima maashllah Allah akuhifdhi uzidi kutujibia na kutuelimisha zaidi
2026-08-07 14:10:41
19
Saleh Abdallah :
الله يحفظك we proud to be muslims
2026-08-08 07:01:11
38
Eshary bby's :
huyu shekhe salute🥰 Yani anamjibu kisomi kidini na kisayansi very smart
2026-09-06 07:07:07
6
FUNDI MUHAMMAD MKAMBA :
ktk hii Dunia Allah amewaleta wachache sn endelea kupigania din y allah
2026-08-16 04:18:32
6
makha 0776567816 :
heshima yako mwalimu unatisha sana mkuu
2026-09-10 04:11:39
6
stide :
fundisha
2026-08-07 14:09:55
6
Hakim Haji :
Mashallah. majibj yamenyooka hata mgonjwa ww akili ataelewa. Allah akubariki snaa Malim wetu
2026-08-07 15:13:48
10
Rehema Adam :
Mashaallah,umejibu vizur kaka na mimi nimepata somo barakallahfi
2026-08-08 11:41:32
5
Godfrey Msengazy :
mashaallah hakika majibu yamenyoooka, mm nadhan kashaelewa tyr,na km ajaelewa bas atoelewa tena, man ,kwanz umempa hostoria then ukampa majibu ipasavyo kutoka kweny kitabu takatifu,na hadith za mtume,, mashallah,,
2026-08-07 17:27:07
5
Bekanho :
uyu sasa ndio mwalimu anatumia akili nauwelewa sio akili tupu mana angekua anatumia akili nahisia angejibu kwaasila ila katumia uwelewa nausubutu asante Shekhe wangu wamuda woote
2026-08-07 17:20:20
6
mrs ima :
takbirrrrrrr
2026-08-29 22:12:52
3
mama phina :
Naaam mwalimu,uko vizuri
2026-08-12 02:35:10
4
Official Runa Ngwambe :
waisilam takbereeeee
2026-09-09 12:31:15
3
To see more videos from user @shaaban_b.omar, please go to the Tikwm
homepage.