@buza_media: JAMAL APRIL AKIELEZEA KUHUSU UHALALI NA UHARAMU WA NGURUWE KUPITIA KIPINDI CHAKE CHA THE STORY BOOK #buza_media #entertainment #tiktoktanzania🇹🇿 #trends

BUZA MEDIA 📺
BUZA MEDIA 📺
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 07 August 2026 14:21:32 GMT
199780
6603
188
350

Music

Download

Comments

heis.lewis
Lewis :
Ndo naend hapa kununua kilo Moja 😂😂
2026-08-09 15:58:32
42
abdulkarimamour81
abdulkarimamour81 :
alhamdulillah kwa kuwa muislamu
2026-08-09 10:31:15
25
___oppah___
GeniusIdiot :
walawi 11:7🔥
2026-08-09 12:43:53
4
josephatdaniel475
J.Vasearch :
tupo duniani kujalibiwa na kuna majalibu mengi tu apa duniani naatakae weza kuishinda tamaa yake na majalibu yote na kushika maamrisho huyo ndiye alie fuzu kwa mola wake mlezi
2026-08-09 17:30:06
13
spiritualprofessor1
Pool of Faith :
Kama mtume kaslikisha majini basi yesu kahararisha nguruwe aliposema kikuingiacho mtu sio najisi bali kimtokacho… na hii ni kweli chakula anachokula mtu na kwenda choon chawezaje kumtua unajisi wakati najisi hutiwa roho na sio mwili….
2026-08-21 05:50:56
4
suleyman_531
Suleyman :
hata mfereji wa hormz tuliambiwa unapitisha mafuta asilimia 25% leo hii ukweli unapitisha zaid ya asilimia 85% kwaio na hizi asilimia za ulaji wa nguruwe sio kweli
2026-08-09 07:41:52
14
333darvee
Medass tz :
mdudu halam
2026-08-09 10:18:17
4
6969gp
6969GP :
hata mimi uwa nakula kwa dharura ya njaa
2026-08-20 06:56:25
4
respect.to.all5
YAMUFA_17 :
nyamafu ndo nini
2026-08-09 16:43:43
0
detaillab____
Manuel :
Mimi na mdudu
2026-08-09 08:41:09
0
dixon5121
🌼𝖘𝖙𝖆𝖗🌼 :
Mtam huyo hatar🥰🥰
2026-08-09 14:03:54
0
romyjoh_
romyjoh_  :
wasabato je ??
2026-08-09 22:02:39
0
shookal.boy
SHOOKAL BOY :
alhamdulilih I'm Muslim
2026-08-10 04:26:07
2
vacci1650
Mr. pin :
kweli kabisa
2026-08-09 15:47:08
0
saytiiy
K- Tiiy💕girl Ambition 🦋🦋 :
Kwahiyo agano jipya linaruhusu kula chochote kwahiyo ukiingia kwenye nyumba ya mtu ukipewa nyama ya mtu ule 🥺sielewi
2026-08-22 17:18:43
0
usemwarab
jay :
ladha yake ipoje
2026-08-19 19:24:31
3
jumajafari219
jumajafari219 :
nilikuw nakufatia na kulike video Zak sema Leo ngoj nipt
2026-08-22 06:18:00
0
mattan196
🫦👻Ms Glorious🌸🫧 :
Bwana mtajua wenyewe😂
2026-08-21 17:10:21
4
user5249100531926
mchicha :
anashida tuachie my wetu
2026-08-09 20:33:54
1
tindwaswalehe
Tindwa @2005 :
paul anawapotosha sana wakuu huyu jamaaa 2mfuatilie
2026-08-20 04:14:43
2
neysampaul
Neyson :
unasemaaa mmh
2026-08-21 15:30:16
1
ayrahking5
Lomynana🦋🦋💕 :
We siachi semeni muwezavyo ndo nakula zangu ivi na ndizi mbili
2026-08-21 16:52:41
1
fransisconkuyumba
fransisconkuyumba :
usikihukumu usichokiumba
2026-08-22 11:55:39
1
godsonkashaija196
Captain Gg :
ndo nmetoka kula saiv wakuu
2026-08-09 18:43:05
1
To see more videos from user @buza_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About