@cawabemedia_: Usalama Umehakikishwa kwa Simba Day na Yanga Day! Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema Jeshi la Polisi litahakikisha linatimiza wajibu wake kikamilifu ili matamasha ya Simba Day na Yanga Day yafanyike kwa amani na usalama. Mashabiki wote wametakiwa kuzingatia sheria, taratibu na kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama ili kuhakikisha matukio hayo yanamalizika salama. #SimbaDay #YangaDay #Usalama #JeshiLaPolisi #DarEsSalaam #TanzaniaFootball
amani itawale kuanzia leo na siku zote zinazofuata tucheze kwa amani tufurahie kwa upendo tuache vurugu na viongozi wetu wa nchi akiwepo mh chalamila ambaye ndio mwenyekiti w aamani mkoa wa dsm naamini watatekeleza majukumu yao ipasavyo
2026-08-07 14:44:53
0
Karagwe finest tz, :
Asante mkuu tumepokea taarifa
2026-08-07 16:24:21
0
angano jipya ukweli yesu yupo :
mkuu wana kumega eeeh☺️
2026-08-07 17:34:47
0
Abuhanifa Mussa :
Aman itawale Tanzania yetu kote
2026-08-07 17:24:27
0
Kalamu Family :
Amen
2026-08-07 17:49:20
0
lady 🌸🦋🥰 :
💛💛💛💛💛💛💛💛
2026-08-07 18:55:37
0
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm
homepage.