Me nilivyoanza kuomba tu watu wangu wa karibu waliniacha wakawa wanagombana na mimi bila ata sababu za msingi nikawa sipati pesa kabisa yani ila nilikua na amani mana nilikua nasali Mungu anipe amani na moyo wa kusamehe ila saiv nikisema Mungu baba sina kodi naomba unisaidie napata huyu Mungu wa mbinguni mimi nampenda sana 🙏
2026-08-09 08:04:45
98
blackbrilliantbeauty :
Mimi madeni mpka nawaza nina miaka30+sijawahi kua na madeni km mwaka huu nilipoanza maombi yesuuuu nihirumie tu madeni ukame wa ela
2026-08-09 15:16:18
30
joy :
that's my situation right now father remember me
2026-08-09 18:41:44
8
Deborah@27 :
mimi siku nliyojichanganya kwenda kuomba mlimani na ndoaiku mme akanza kunywa pombe ,wanawake kila kona yaan hakuna utulivu kama wazamn
hapa nlipo nmechoka mwili na roho 😭😭
Anyway Amen mtumishi
2026-08-07 19:38:34
18
Jennifer :
mi nilipoanza kuomba tu watu wameondoka kwenye maisha yangu naumia najiskia vibaya nifanyeje😭
2026-08-11 16:09:11
11
Diana phinias :
amen kaka me tangia nimeanza kumuombea mchumba wng ndio kbs vita imekua kubwa mpk kaniacha kbs